Pole sana mkuu, inaonekana ndo unanifahamu leo.. Pitia nyuzi zangu zote uone halafu fananisha na ulichokiandikaππKelele nyingiii, serious rship hazielezewi Jf, hizi ni sehemu za mbwembwe na kujifariji baada ya kupigwa matukio ya kutosha.
Atakachofanya huyu ni akipigwa chini hutaona ushuhhda wake wa kupigwa chini.
Ila all in all kwetu wanaume wenye darubini kali mwanamke anae andika andika sana mitandaoni ni wale wasiofugika (much knows).
Wee kuweza kuuziwa mbuzi kwenye guniaπππHaya sasa.
Msikulane kabla ya ndoa.
Mmmh sasa genye zitamaliziwa wapi?Sawa, nitaifanyia kazi huu ushauriπ€
Achana naye huyo. Ungana na Miss Nifah kufurahia mapenzi shata shata na wakaka wazuri wenu!Pole sana mkuu, inaonekana ndo unanifahamu leo.. Pitia nyuzi zangu zote uone halafu fananisha na
ulichokiandikaππ
Umeongea kwa uchungu, halafu ukute ni mwanaume hovyooooπππ€ππ
Mwanaume akipewa penzi huhisi kupendwa zaidi. Ila mwanamke akihisi kupendwa zaidi ndipo hutoa penzi.Yaani nimewaza basi tu yaniπ
Asante sana kiongozi Plan Master .. Napokea mibaraka yako AmeenππLeejay49 hongera sana na ikawe heri mfikie malengo yenu wewe ni miongoni mwa wanawake naowakubaligi hapa jamvini huna baya na mtu.
Yeah ni kweli, hajawahi kuulizia hilo suala hata hivyo..but i will be there for him incaseβΊοΈβΊοΈMwanaume akipewa penzi huhisi kupendwa zaidi. Ila mwanamke akihisi kupendwa zaidi ndipo hutoa penzi.
Mimi wangu nilimwambia na kumpa uhuru kwamba simuharakishi.
Akiridhika na mimi anipe tu. Ila kunipa au kunibania haina maana kwamba nitapunguza upendo, ila ajua kwamba na mimi ni muhitaji wa penzi lake.
Hivi huwaga mnatujaribu auππMwanaume akipewa penzi huhisi kupendwa zaidi. Ila mwanamke akihisi kupendwa zaidi ndipo hutoa penzi.
Mimi wangu nilimwambia na kumpa uhuru kwamba simuharakishi.
Akiridhika na mimi anipe tu. Ila kunipa au kunibania haina maana kwamba nitapunguza upendo, ila ajua kwamba na mimi ni muhitaji wa penzi lake.
Umetumwa na mtu kunitafuta kama unataka sijui matusi jana ilitosha kunidhihaki nasema hili siitaji tena kuwa na utani wako. Leo naku ignore so tukana hadi uchoke.Dada naomba usi nizoeeππ, toka Jana uli nambia nisi kufate fate.
Usiache kumuomba Mungu kila siku maana na wabaya watasogea karibu ili usiendelee kupata furaha.