Hatimaye nimempata!




Ukiwa unavutia utahangaika Ila ukiwa na mvuto you will get the right choice

Uumbaji huwa hauna kelele Ila uharibufu Una kelele

Calmness
 
Wanaume hamjawahi kuchoka kukaa sub, imagine kuna mkaka ananitongoza toka 2019🤣🤣🤣🤣 Anasubiri ndoa iyumbe nikampe vya hasira🤣🤣🤣🤣
Kwenye hili nawaaminia🤣
 
Unapojiingiza kwenye mahusiano usitegemee furaha tu siku zote bali uwe tayari ku face raha na karaha,
Hakuna binadamu aliyekamilika,tunaishi kwa kuvumiliana tu,ukitaka kupata mwenza aliyekamilika na asiye na mapungufu yeyote,hutumpata kamwe,kumbuka hata wewe una mapungufu yako,

Mahusiano yaendane na maelewano,uvumilivu na kusameheana,bila hivyo utabadili wanaume kama Daladala,ukienda umepanda hili na ukirudi unapanda lile,

All the best.
 
Asante kwa hekima hizi big brother.. One love❤️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…