Umejaribu kumpenda yule anayekupenda?Kujitetea utasema hvo🤣ukipenda sana unakosa ushirikiano ukipendwa sana unakosa zle heka heka flan hv za kwenye mapenzi kunakua kama kumepoa hv
Mapenzi yanatesa mwangu sio powa! Home maza na mzee wanaambiana huyu mpaji mungu atakua anateswa na homa za usiku kumbe mwamba penzi linanimalizaWe kijana Leo umefanya akili iburudike ganzi ilishia njiani alooooo niliona kama nimebeba Jiwe kwenye mapaja sasa bora irudiwe🤣sio kwa kupata penzi jipya
Mbona kinyonge sana.Hongera
Wape hata krismas mbili (2) kabla ya kuachana.Mtaachana tu
Really! How do you feel the happiness in upweke mkuu?Sio kweli kwamba tunatakiwa kupambana na kuepukana na upweke. In case you dont know, there is peace and tranquility in solitude.
And i must tell you, there is more happiness in upweke than in relationships. Wait and see!
Basi yule chalii ni boya ile laana. Aombe tu mods wafute uziHapana mkuu, wala hayuko Jf
Hamwezi kupendana wote, anaependa sana anakua Moja mwingn anakua anatoa ushirikiano!Umejaribu kumpenda yule anayekupenda?
Yaani mnapendana wote?
Linakutafuna taratibu😄😄Mapenzi yanatesa mwangu sio powa! Home maza na mzee wanaambiana huyu mpaji mungu atakua anateswa na homa za usiku kumbe mwamba penzi linanimaliza
Kwa hiyo tuishie kwenye kumpongeza tu mzeiya 😁Ila kwer Sasa yeye anshukuru sisi tuna mshauri au tunampongeza😄
Wapo wanaopata bahati ya kupendana wote, so wanaenjoyyyHamwezi kupendana wote, anaependa sana anakua Moja mwingn anakua anatoa ushirikiano!
Kuna mda yule aliependa sana anakua anajizima data kuvumilia baadhi ya vitu ili penzi lisonge lkn aliependwa anakua anaona kila kitu oky
Yeah mengine ni kuchosha akili tu naona🤣Kwa hiyo tuishie kwenye ushauri na kupongeza tu mzeiya 😁
Yeah mengine ni kuchosha akili tu naona🤣Kwa hiyo tuishie kwenye ushauri na kupongeza tu mzeiya 😁
Binafsi cjawaiona penzi lakufanya niwe na furahaWapo wanaopata bahati ya kupendana wote, so wanaenjoyyy
Ujue ukiwa na uhakika wa kupiga hata utongoze ukataliwe utongoze ukubaliwe haishtui sana maana Haina madhara ila kuwa na genye qali ndo utajua hujuiBora penzi lipoe ama upate hekaheka Mimi niwachane tu ata nikiwa kwenye penzi jipya hua sipendi kupoteza status yakutongoza 🤣🤣hii ndio hekaheka nayoipenda ktk mahusiano
Dooh pole sanaBinafsi cjawaiona penzi lakufanya niwe na furaha