Haha..
sawa kaka uliyejikana nafsi, Lee kaweka ili kushea positive vibes and not otherwise..!!
But guys tusiache kumuomba Mungu, yaani kama unaweza kufunga hata tatu kavu just do it, inasaidia sana.
Ingawa ni mapema mno kuthibitisha yote hayo. Tunakuombea muwe na mwendelezo mwema. Siwaombei mwiaho mwema.kwa sababu mwisho ni kukimbiana.Good morning ma lovers,
Moja kati ya vitu ambavyo tunatakiwa kuepukana navyo na kupambana navyo kwa namna yoyote ile ni pamoja na upweke and finally Leejay49 nimelishinda hili.
Maana haikua rahisi being single for almost two years, na nilishagive up kwamba hakuna mapenzi ya kweli due to senarios zilizojirudia kwa ambao nilidhani wangekua wapenzi wangu (Uongo na maisha ya kuigiza) vilinitoa kwenye reli kabisa.
Sikua na option nyingine zaidi ya kukubali kuwa i will be single forever🥹🥹, kutafuta sana hela kwa nguvu na akili zangu zote, but still haikusaidia maana i used to spend alot of it nikidhani i will find peace of heart na sikuwahi kuipata. Ikafika hatua nikawa namuogopa kila mtu atakayeniface na kushow interest ya kua na mimi.. Haikua rahisi🙌🙌
But guys tusiache kumuomba Mungu, yaani kama unaweza kufunga hata tatu kavu just do it, inasaidia sana. Lilikuwa ni miongoni mwa maombi yangu ya mwisho kabisa, yaani kuomba kwajili ya mwanaume wa ndoto zangu, ilikua ni maombi extra baada ya kuombea kila kitu😃 lakini gues what, limetimia kabla ya wakati!
I do love this man na siwezi ficha, amenibadilisha kila kitu ikiwemo mtazamo wangu kwa hawa viumbe wa kuitwa Men. He is not perfect kama mimi ambavyo siko perfect but we can make it na tutafika mbali (Mungu wangu ninayemwamini hajawahi kuniacha na hata kwenye hili pia naamini hataniacha).
Kama kuna mtu ambaye maybe nilishakwambia nakupenda au nakupenda pia, am sorry zilikuwa ni stress tu🙏🙏 anayependwa kapatikana (na hili halihitaji maelezo). Am in Love🥰🥰❤️
Muwe na Jumapili iliyo njema.
Hey chinga umempeleka wapiKwani bila kunanii unakufa ni maamuzi tu😁😁
Penz lina wiki tu ushaanza kuvimbaGood morning ma lovers,

Haha..!!True that, vingine tunanogesha tu uzi...
Sehemu nayoondoka nayo kama key message ni hii...labda na mimi nitaleta uzi wa kumpata SL 😊
Haha..Mimi mbona nimetulia sana tu,
kama huamini njoo PM ndio utaona utulivu wangu coz huko hakuna vurugu za watu.
Aseme mapema ili tukimuona kwenye pm zetu tumfukuze
I do love this man na siwezi ficha, amenibadilisha kila kitu ikiwemo mtazamo wangu kwa hawa viumbe wa kuitwa Men. He is not perfect
Kwahyo mambo yetu umekuja kutangaza huku JF Leejay49 basi tuachane kwanzia saiiGood morning ma lovers,
Moja kati ya vitu ambavyo tunatakiwa kuepukana navyo na kupambana navyo kwa namna yoyote ile ni pamoja na upweke and finally Leejay49 nimelishinda hili.
Maana haikua rahisi being single for almost two years, na nilishagive up kwamba hakuna mapenzi ya kweli due to senarios zilizojirudia kwa ambao nilidhani wangekua wapenzi wangu (Uongo na maisha ya kuigiza) vilinitoa kwenye reli kabisa.
Sikua na option nyingine zaidi ya kukubali kuwa i will be single forever🥹🥹, kutafuta sana hela kwa nguvu na akili zangu zote, but still haikusaidia maana i used to spend alot of it nikidhani i will find peace of heart na sikuwahi kuipata. Ikafika hatua nikawa namuogopa kila mtu atakayeniface na kushow interest ya kua na mimi.. Haikua rahisi🙌🙌
But guys tusiache kumuomba Mungu, yaani kama unaweza kufunga hata tatu kavu just do it, inasaidia sana. Lilikuwa ni miongoni mwa maombi yangu ya mwisho kabisa, yaani kuomba kwajili ya mwanaume wa ndoto zangu, ilikua ni maombi extra baada ya kuombea kila kitu😃 lakini gues what, limetimia kabla ya wakati!
I do love this man na siwezi ficha, amenibadilisha kila kitu ikiwemo mtazamo wangu kwa hawa viumbe wa kuitwa Men. He is not perfect kama mimi ambavyo siko perfect but we can make it na tutafika mbali (Mungu wangu ninayemwamini hajawahi kuniacha na hata kwenye hili pia naamini hataniacha).
Kama kuna mtu ambaye maybe nilishakwambia nakupenda au nakupenda pia, am sorry zilikuwa ni stress tu🙏🙏 anayependwa kapatikana (na hili halihitaji maelezo). Am in Love🥰🥰❤️
Muwe na Jumapili iliyo njema.
Mimi nikajua tupo single and happy kumbe wenzetu mnakulana!!!
Kikiisha ndo unaanza kumuona mwenzio ana matege🤣🤣🤣, mara ananuka mdomo....afu unakumbuka sub zako🤣🤣🤣 unaanza kuzitumia ishara zianze kupasha🤸🏿♀️Uzuri wa penzi jipya ni kile kichaa kinachofanya muone dunia nzima mpo wawili
Nyieeee🤣🤣🤣 Msiseme hivo🤣🤣🤣Na Iko siku utampa
Sijakuelewa mkuu😁😁Unaweza kununua harufu ya mishikaki bila mishikaki yenyewe?
Halafu ukawaambie wenzako nimepata mishikaki leo?
😎
Haha..!!
Na Mimi nakuombea umpate the Main One, na wewe ulete uzi hapa siku moja insha'Allah..!!
Una laana we 😁😁Panazibaga pale siku ya kuzabuliwa utakoma 😂
Waugwaduuu😜Mkuu😅
Amekoma hataki hata kusikia mamaziii za JF😁Hey chinga umempeleka wapi