Kama wadudu tu hawana madhara kabisa πWengine mnawaona kama vibuyu
Ngoja waje wale wa Mtaachana tu.
Nipo salama kabisa Chalz..Niaje rafiki yangu Carleen uko poa
Ooh,kama ndivyo bas mie ndiye perfect combo...em sogea nikuambie kituπ€£ππ Huyu ni dada yangu Tena ni mdogo wangu wa mwisho
Na mie nasubiri nikitulia tu naanza kupitia moja baada ya nyingine
Hahahahahaha...Rafiki nishapata sababu Mangi hapa kanitwanga na 3 mie mwenyewe nina 3 kwa friji ..mapema tu shetani kanipitiaDuuhππ
Huyo shetani mnamsingizia sana ujue
Mkuu umewaza mbali sana,unaweza ukawa upo sahihi coz thread za kumfungulia binti zilikua nyingi sana.Nimejiuliza tu kwa nini kaweka uzi...
Halafu akili ya kibazazi ikaniambia kausha, kuna mtu au watu wanafikishiwa ujumbe hapa jukwaani...
Watanzania huwa mna nini na watu wakipendana zao tu..??Nimejiuliza tu kwa nini kaweka uzi...
Halafu akili ya kibazazi ikaniambia kausha, kuna mtu au watu wanafikishiwa ujumbe hapa jukwaani...
Mi nachangamsha genge tu, ndio umeona uje kunipiga fix kabisa πππ! Miaka miwili like serious au ulikuwa eda?Unaonekana unapenda sana chini watu tumekaa miaka 3 bila bila we unazungumzia miwili.
Embu ngoja Nikubusu ππ mi amor πOoh,kama ndivyo bas mie ndiye perfect combo...em sogea nikuambie kitu
Me love you π π₯°Embu ngoja Nikubusu ππ mi amor π
Hahahahaha..akili za kibazazi nimezikubaliNimejiuliza tu kwa nini kaweka uzi...
Halafu akili ya kibazazi ikaniambia kausha, kuna mtu au watu wanafikishiwa ujumbe hapa jukwaani...
ππ€£πNimejiuliza tu kwa nini kaweka uzi...
Halafu akili ya kibazazi ikaniambia kausha, kuna mtu au watu wanafikishiwa ujumbe hapa jukwaani...
HahahahahaMkuu umewaza mbali sana,unaweza ukawa upo sahihi coz thread za kumfungulia binti zilikua nyingi sana.
Sasa mbona unatuchanganya?Me love you π π₯°
Kuna mtu kauziwa mbuzi kwenye gunia π
Hahahahaha..nadhani next threads ya namna hii itatokeq kwakoMe love you π π₯°
π€£π€£π€£π€£π€£ hujawahi eleweka kama mimi tuπSasa mbona unatuchanganya?
Ngoja niufute huu uzi ambao ndio nilikua nataka kubonyeza kitufe cha Post