we ulikuwa CCM sikuzote. Kwasasa hakuna wanaoenda CCM labda kwa maslahi binafsi....CCM imezeeka, ni majanga
Suala la CCM kuwa na mvuto halihitaji mjadala, kwani liko wazi.
Mtu yeyote mpenda amani, maendeleo, demokrasia ya kweli basi hana budi kuwa kada wa CCM.
CCM ahitaji kusema TUMEANZA NA MUNGU TUTAMALIZA NA MUNGU, kwa kuwa Mungu siku zote hukaa upande wa washindi. Basi Mungu bila shaka yuko na CCM daima.
Nichukue fursa hii kukupongeza kwa maamuzi sahihi, pia kukukaribisha kwenye chama cha watu makini na wazalendo wa Tanzania.
Hivi wewe una umuhimu gani kwenye jamii ya wtz, ili nikujadili kujiunga kwako huko? Wenzio tulitoka huko muda mrefu uliopita baada ya jahazi kutoboka na linaingiza maji ....Baada ya muda mrefu wa uchambuzi wa kina kabisa kuhusu kujiunga na chama cha siasa, hatimaye nimeamua rasmi kujiunga na CCM na nimepewa kadi ya uanachama.
Nimeamua kujiunga CCM kwa sababu ndicho chama chenye rasilimali watu makini na bora zaidi kuliko chama chochote nchini, ambao wanaweza kuiongoza nchi hii.
Pili, mm ni muumini sana wa amani; napema amani na huchukia sana watu wanaohubiri uvunjifu wa amani.
Demokrasia na uhuru ndani ya chama; CCM ni chama chenye uhuru wa mawazo na fikra kulinganisha na vyama vingine ndo maana vyama hivi ni kama NGOs ambazo humilikiwa na wachache na uongozi wa kiimla.
Kwa ujumla ninazo sababu nyingi tu, lakini niseme tu kwamba CCM bado ni chama chenye mvuto zaidi nchini.
Baada ya muda mrefu wa uchambuzi wa kina kabisa kuhusu kujiunga na chama cha siasa, hatimaye nimeamua rasmi kujiunga na CCM na nimepewa kadi ya uanachama.

Aaah kina demokrasia?? Kolimba aliposema hakina dira alifanywaje?? Imran Kombe alifanywaje. Ila una uhuru wa kutoa mawazo yako na kuchagua. Safari njema.
Hahahaaaaaaa! Mpenda amani, maendeleo??Suala la CCM kuwa na mvuto halihitaji mjadala, kwani liko wazi.
Mtu yeyote mpenda amani, maendeleo, demokrasia ya kweli basi hana budi kuwa kada wa CCM.
CCM ahitaji kusema TUMEANZA NA MUNGU TUTAMALIZA NA MUNGU, kwa kuwa Mungu siku zote hukaa upande wa washindi. Basi Mungu bila shaka yuko na CCM daima.
Nichukue fursa hii kukupongeza kwa maamuzi sahihi, pia kukukaribisha kwenye chama cha watu makini na wazalendo wa Tanzania.
Kwa hiyo umehama kujipatia office? CCM wana office nyingi? Wamewafanyia nini watanzania zaidi ya kubaka taifa letu, kunyima watoto wetu elimu, wizi, ujangiri, kuua watu wakiwemo CCM wenyewe? Unajidanganya!!! Bora nendazako mapema. Ungeleta matatizo makubwa. Kwanza hujui kazi za wabunge. Hivi wabunge huwa wanapewa hela kuleta maendeleo? Zitto naye anaweza kuongozana na wewe. Cheap politicians.Nawashukuru wote walionikaribisha ndani ya chama makini (CCM) na kunitakia mafanikio. Naahidi ntajituma na kujitoa kwa ajili ya kuwatumikia watanzania.
Wale wanaodhani hii ni ID ya watu fulani, nawapeni pole. Siwezi kufanya hivyo wala sina sababu ya kufanya hivyo.
Japo ni ukweli tu kwamba CCM hakitatawala milele lakini ni jambo lililowazi tu kwamba CCM kitaendelea kutawala kwa miaka mingi ijayo hasa hasa ukizingatia udhaifu mkubwa wa upinzani nchini.
Kwa mfano mdogo tu, CHADEMA, chama kikuu cha upinzani, kinapokea RUZUKU kubwa tu kutoka serikalini, FEDHA ZA MICHANGO YA WANACHAMA, MABILIONI YA SHILINGI ZA WAFADHILI na bado wanakusanya 'SADAKA' kwenye mikutano lakini bado wana matatizo ya msingi kama kukosa ofisi!
Wabunge wengi, labda ukimuacha ZITTO, hawajafanya mambo ya maana kwenye majimbo yao zaidi ya kuhamasisha maandamano na vurugu zisizo na tija.
****Mungu ibariki Tanzania na watu wake****
Tutolee pumba hapa, Mbulula mkubwa wewe