Hatimaye nimejiunga rasmi CCM na kupewa kadi ya uanachama!

Watu makini wanaenda chasma makini. Na ccm itavuna member wengi sana cku za karibuni. Mwisho wa cdm ndiyo huoooo.

Kwani mleta mada alikuwa CHADEMA???!
Umeisoma mada vzr?
MAKETE: CHADEMA 46, CCM 1
 
Ccm wanaenda mafisadi, majambazi, wakwepa kodi, wahujumu uchumi, matapeli, wauwaji, majangili, na wote ni waumini wa IBILISI.

halafu wanamzingizia mungu tena washindwe na nnakemea mipepo ya ccm in the name of jesus
 
Baada ya muda mrefu wa uchambuzi wa kina kabisa kuhusu kujiunga na chama cha siasa, hatimaye nimeamua rasmi kujiunga na CCM na nimepewa kadi ya uanachama.

Nimeamua kujiunga CCM kwa sababu ndicho chama chenye rasilimali watu makini na bora zaidi kuliko chama chochote nchini, ambao wanaweza kuiongoza nchi hii.
Pili, mm ni muumini sana wa amani; napema amani na huchukia sana watu wanaohubiri uvunjifu wa amani.

Demokrasia na uhuru ndani ya chama; CCM ni chama chenye uhuru wa mawazo na fikra kulinganisha na vyama vingine ndo maana vyama hivi ni kama NGOs ambazo humilikiwa na wachache na uongozi wa kiimla.

Kwa ujumla ninazo sababu nyingi tu, lakini niseme tu kwamba CCM bado ni chama chenye mvuto zaidi nchini.

Hongera sana mkubwa..maamuzi mazuri sana hasa ukizingatia maisha yenyewe haya hayana muamana japo hujatuambia ulitokea wapi mbaka CCM. Huku bwana mkubwa kuna fursa nyingi sana ujanja wako tu wa kudeal na vigogo. Kama biashara utafanya na kupata faida kwa muda mfupi tu sana tena bila kubabaishwa na sheria za nchi. Ukiwa makini utatajirika mno na Amani unayohitaji na kuihubiri utaipata maana hakuna kusukwasukwa na Polisi na hata unaweza ukapewa nguvu ya kuiamrisha polisi ifanye kile wewe unapenda..KARIBU SANA

"WAKTI MWINGINE AMANI NI ZAO LA UOGA"
 
Tafsir ya jina lako ilinganishe na maamuz yako,najua ukiwa ccm risas hazikupati kwan mmezoea kuua wapinzan nyie mkilindwa! Namaanisha umefata maslah binafsi
 
Baada ya muda mrefu wa uchambuzi wa kina kabisa kuhusu kujiunga na chama cha siasa, hatimaye nimeamua rasmi kujiunga na CCM na nimepewa kadi ya uanachama.

Nimeamua kujiunga CCM kwa sababu ndicho chama chenye rasilimali watu makini na bora zaidi kuliko chama chochote nchini, ambao wanaweza kuiongoza nchi hii.
Pili, mm ni muumini sana wa amani; napema amani na huchukia sana watu wanaohubiri uvunjifu wa amani.

Demokrasia na uhuru ndani ya chama; CCM ni chama chenye uhuru wa mawazo na fikra kulinganisha na vyama vingine ndo maana vyama hivi ni kama NGOs ambazo humilikiwa na wachache na uongozi wa kiimla.

Kwa ujumla ninazo sababu nyingi tu, lakini niseme tu kwamba CCM bado ni chama chenye mvuto zaidi nchini.

elezea vizuri umetokea wapi kwenda ccm au ndo umefikisha miaka 18.....mjinga wewe..... .
 
baada ya muda mrefu wa uchambuzi wa kina kabisa kuhusu kujiunga na chama cha siasa, hatimaye nimeamua rasmi kujiunga na ccm na nimepewa kadi ya uanachama.

Nimeamua kujiunga ccm kwa sababu ndicho chama chenye rasilimali watu makini na bora zaidi kuliko chama chochote nchini, ambao wanaweza kuiongoza nchi hii.
Pili, mm ni muumini sana wa amani; napema amani na huchukia sana watu wanaohubiri uvunjifu wa amani.

Demokrasia na uhuru ndani ya chama; ccm ni chama chenye uhuru wa mawazo na fikra kulinganisha na vyama vingine ndo maana vyama hivi ni kama ngos ambazo humilikiwa na wachache na uongozi wa kiimla.

Kwa ujumla ninazo sababu nyingi tu, lakini niseme tu kwamba ccm bado ni chama chenye mvuto zaidi nchini.

kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza.
 
Baada ya muda mrefu wa uchambuzi wa kina kabisa kuhusu kujiunga na chama cha siasa, hatimaye nimeamua rasmi kujiunga na CCM na nimepewa kadi ya uanachama.

Nimeamua kujiunga CCM kwa sababu ndicho chama chenye rasilimali watu makini na bora zaidi kuliko chama chochote nchini, ambao wanaweza kuiongoza nchi hii.
Pili, mm ni muumini sana wa amani; napema amani na huchukia sana watu wanaohubiri uvunjifu wa amani.

Demokrasia na uhuru ndani ya chama; CCM ni chama chenye uhuru wa mawazo na fikra kulinganisha na vyama vingine ndo maana vyama hivi ni kama NGOs ambazo humilikiwa na wachache na uongozi wa kiimla.

Kwa ujumla ninazo sababu nyingi tu, lakini niseme tu kwamba CCM bado ni chama chenye mvuto zaidi nchini.

Kila mtu ana uhuru wake sema kwa jinsi ulivyofurahia uamuzi wako nadhani ulikuwa na watu walikusindikiza wakakupiga na picha ukiwa ndani ya magamba ya kijani tupia picha basi na kadi number yako weka bayana ulipokelea kadi yako tawi lipi au upo kuuza maneno humu ndani by the way watanzania washajua mbivu na mbichi hata mkikazana kupeana kadi mia kwa mtu moja hakuna kitakachobadilika kuhusu anguko lenu ni wazi na halihepukiki.
 
Ni kweli kina mvuto kwako,kwa mkeo,mama yako na demu wako maana kinawalisha baada ya kuwala watanzania
 
we ulikuwa CCM sikuzote. Kwasasa hakuna wanaoenda CCM labda kwa maslahi binafsi....CCM imezeeka, ni majanga
Khaa!! we vipi? bado uko usingizini? wote wanaokwenda kwenye vyama mbalimbali kwa maslahi binafsi kwanza. Usidanganyike kirahisi :bored:
 
Baada ya muda mrefu wa uchambuzi wa kina kabisa kuhusu kujiunga na chama cha siasa, hatimaye nimeamua rasmi kujiunga na CCM na nimepewa kadi ya uanachama.

Nimeamua kujiunga CCM kwa sababu ndicho chama chenye rasilimali watu makini na bora zaidi kuliko chama chochote nchini, ambao wanaweza kuiongoza nchi hii.
Pili, mm ni muumini sana wa amani; napema amani na huchukia sana watu wanaohubiri uvunjifu wa amani.

Demokrasia na uhuru ndani ya chama; CCM ni chama chenye uhuru wa mawazo na fikra kulinganisha na vyama vingine ndo maana vyama hivi ni kama NGOs ambazo humilikiwa na wachache na uongozi wa kiimla.

Kwa ujumla ninazo sababu nyingi tu, lakini niseme tu kwamba CCM bado ni chama chenye mvuto zaidi nchini.
Khaa!! kwani umepata post huko? au bado ahadi tu? :bored:
 
Mods, Paw PainKiller Fang Buchanan Cookie

Mbona Hadhi ya Hili Jukwaa inadhalilishwa hivi kila Uchwao ???
Ina maana hili limekuwa ni Bango la Matangazo kwa Kila Mtu kujisikia ku post Upuuzi kama huu??
 
Last edited by a moderator:
Baada ya muda mrefu wa uchambuzi wa kina kabisa kuhusu kujiunga na chama cha siasa, hatimaye nimeamua rasmi kujiunga na CCM na nimepewa kadi ya uanachama.

Nimeamua kujiunga CCM kwa sababu ndicho chama chenye rasilimali watu makini na bora zaidi kuliko chama chochote nchini, ambao wanaweza kuiongoza nchi hii.
Pili, mm ni muumini sana wa amani; napema amani na huchukia sana watu wanaohubiri uvunjifu wa amani.

Demokrasia na uhuru ndani ya chama; CCM ni chama chenye uhuru wa mawazo na fikra kulinganisha na vyama vingine ndo maana vyama hivi ni kama NGOs ambazo humilikiwa na wachache na uongozi wa kiimla.

Kwa ujumla ninazo sababu nyingi tu, lakini niseme tu kwamba CCM bado ni chama chenye mvuto zaidi nchini.
hata ujependekeze vip hupati U DC wanapeana wenyewe wewe utabaki kupewa elfu saba
 
Back
Top Bottom