Hatimaye nimejiunga rasmi CCM na kupewa kadi ya uanachama!

Hatimaye nimejiunga rasmi CCM na kupewa kadi ya uanachama!

Kwani mleta mada alikuwa CHADEMA???!
Umeisoma mada vzr?
MAKETE: CHADEMA 46, CCM 1

Mleta mada nimemsifu kwa kujiunga ccm. Pia ccm itavuna member kutoka cdm. Two in one, sawa we mlamba viatu wa cdm
 
"CCM ni chama chenye uhuru wa mawazo na fikra kulinganisha na vyama vingine". Huo ni mtazamo wako maana hata maelezo ya uhuru wa mawazo na fikra nao unatokana na namna kiwango cha uelewa wako kilivyo. Hakukuwa na sababu ya kusema ama kulinganisha vyama katika uamuzi wako. Maana mwisho wa siku ukifanya hivyo, utajiongopea tu bure.
 
Mleta mada nimemsifu kwa kujiunga ccm. Pia ccm itavuna member kutoka cdm. Two in one, sawa we mlamba viatu wa cdm

Naweza kuwa mlamba viatu LAKINI siwezi kuwa mwana-CCM!
CCM kwangu ni kama maji ya maiti...
Sinywi hata kwa kiu ya vipi!
 
Nawashukuru wote walionikaribisha ndani ya chama makini (CCM) na kunitakia mafanikio. Naahidi ntajituma na kujitoa kwa ajili ya kuwatumikia watanzania.

Wale wanaodhani hii ni ID ya watu fulani, nawapeni pole. Siwezi kufanya hivyo wala sina sababu ya kufanya hivyo.

Japo ni ukweli tu kwamba CCM hakitatawala milele lakini ni jambo lililowazi tu kwamba CCM kitaendelea kutawala kwa miaka mingi ijayo hasa hasa ukizingatia udhaifu mkubwa wa upinzani nchini.

Kwa mfano mdogo tu, CHADEMA, chama kikuu cha upinzani, kinapokea RUZUKU kubwa tu kutoka serikalini, FEDHA ZA MICHANGO YA WANACHAMA, MABILIONI YA SHILINGI ZA WAFADHILI na bado wanakusanya 'SADAKA' kwenye mikutano lakini bado wana matatizo ya msingi kama kukosa ofisi!

Wabunge wengi, labda ukimuacha ZITTO, hawajafanya mambo ya maana kwenye majimbo yao zaidi ya kuhamasisha maandamano na vurugu zisizo na tija.

****Mungu ibariki Tanzania na watu wake****

now i can see your colour
 
kila la kheri mkuu , je umewahi kumuuliza Mwakyembe gharama ya kuwa mwanaccm ? Kama bado nakushauri umcheki .
 
Baada ya muda mrefu wa uchambuzi wa kina kabisa kuhusu kujiunga na chama cha siasa, hatimaye nimeamua rasmi kujiunga na CCM na nimepewa kadi ya uanachama.Nimeamua kujiunga CCM kwa sababu ndicho chama chenye rasilimali watu makini na bora zaidi kuliko chama chochote nchini, ambao wanaweza kuiongoza nchi hii.Pili, mm ni muumini sana wa amani; napema amani na huchukia sana watu wanaohubiri uvunjifu wa amani.Demokrasia na uhuru ndani ya chama; CCM ni chama chenye uhuru wa mawazo na fikra kulinganisha na vyama vingine ndo maana vyama hivi ni kama NGOs ambazo humilikiwa na wachache na uongozi wa kiimla.Kwa ujumla ninazo sababu nyingi tu, lakini niseme tu kwamba CCM bado ni chama chenye mvuto zaidi nchini.
hakiri zinatofautiana kwa kwekiiii...
 
Baada ya muda mrefu wa uchambuzi wa kina kabisa kuhusu kujiunga na chama cha siasa, hatimaye nimeamua rasmi kujiunga na CCM na nimepewa kadi ya uanachama.

Nimeamua kujiunga CCM kwa sababu ndicho chama chenye rasilimali watu makini na bora zaidi kuliko chama chochote nchini, ambao wanaweza kuiongoza nchi hii.
Pili, mm ni muumini sana wa amani; napema amani na huchukia sana watu wanaohubiri uvunjifu wa amani.

Demokrasia na uhuru ndani ya chama; CCM ni chama chenye uhuru wa mawazo na fikra kulinganisha na vyama vingine ndo maana vyama hivi ni kama NGOs ambazo humilikiwa na wachache na uongozi wa kiimla.

Kwa ujumla ninazo sababu nyingi tu, lakini niseme tu kwamba CCM bado ni chama chenye mvuto zaidi nchini.

Hongera kwa kuirudia nguo ulioichoka na ambayo ilikuwa imezeeka. Natamani uirudie na baiskeli yako uliyo uliyoanza nayo maisha kwa kuwa unapenda vya kale na vilivyochoka.
 
Baada ya muda mrefu wa uchambuzi wa kina kabisa kuhusu kujiunga na chama cha siasa, hatimaye nimeamua rasmi kujiunga na CCM na nimepewa kadi ya uanachama.

Nimeamua kujiunga CCM kwa sababu ndicho chama chenye rasilimali watu makini na bora zaidi kuliko chama chochote nchini, ambao wanaweza kuiongoza nchi hii.
Pili, mm ni muumini sana wa amani; napema amani na huchukia sana watu wanaohubiri uvunjifu wa amani.

Demokrasia na uhuru ndani ya chama; CCM ni chama chenye uhuru wa mawazo na fikra kulinganisha na vyama vingine ndo maana vyama hivi ni kama NGOs ambazo humilikiwa na wachache na uongozi wa kiimla.

Kwa ujumla ninazo sababu nyingi tu, lakini niseme tu kwamba CCM bado ni chama chenye mvuto zaidi nchini.

Umefanya uamuzi sahihi kabisa, hongera.

Maana kuna vyama humu kazi yake kutembeza bakuli kwenye mikutano halafu wakuu wa hivyo vyama wanazikopa hizo fedha na kujengea majumba ya fahari wake za watu. Nani asiyewajuwa? Amani itatoka wapi kwenye laana kama hiyo?
 
Afadhali yao omba omba kuliko mafisadi.
 
Haya bwana una uhuru huo, lakini kujiunga na wezi, majambazi, wahuni, wazandiki, na wachafu wewe utakuwa ni mmoja wao tu
 
najua utajua ukwel mda c mrefu kama una akili timamu lakini.
 
mnajiita chama cha mapinduzi,mlimpindua nani? Ccm ni sawa ukoo wa panya,baba mwizi,mama mwizi,hadi watoto wezi,kwa hiyo huyo anayesema amejiunga rasmi na ccm yy pia ni mwizi na vilevile ni mnafiki kwani vijana wenzetu tubadilike tuache unafiki.
 
Baada ya muda mrefu wa uchambuzi wa kina kabisa kuhusu kujiunga na chama cha siasa, hatimaye nimeamua rasmi kujiunga na CCM na nimepewa kadi ya uanachama.

Nimeamua kujiunga CCM kwa sababu ndicho chama chenye rasilimali watu makini na bora zaidi kuliko chama chochote nchini, ambao wanaweza kuiongoza nchi hii.
Pili, mm ni muumini sana wa amani; napema amani na huchukia sana watu wanaohubiri uvunjifu wa amani.

Demokrasia na uhuru ndani ya chama; CCM ni chama chenye uhuru wa mawazo na fikra kulinganisha na vyama vingine ndo maana vyama hivi ni kama NGOs ambazo humilikiwa na wachache na uongozi wa kiimla.

Kwa ujumla ninazo sababu nyingi tu, lakini niseme tu kwamba CCM bado ni chama chenye mvuto zaidi nchini.

Kuzaliwa zezeta ni mapenzi ya mungu,lakini kuwa mwanachama,shabiki wa ccm huo ni uzezeta na upumbafu wako tu.
 
Baada ya muda mrefu wa
uchambuzi wa kina kabisa kuhusu kujiunga na chama cha siasa, hatimaye
nimeamua rasmi kujiunga na CCM na nimepewa kadi ya uanachama.

Nimeamua kujiunga CCM kwa sababu ndicho chama chenye rasilimali watu
makini na bora zaidi kuliko chama chochote nchini, ambao wanaweza
kuiongoza nchi hii.
Pili, mm ni muumini sana wa amani; napema amani na huchukia sana watu
wanaohubiri uvunjifu wa amani.

Demokrasia na uhuru ndani ya chama; CCM ni chama chenye uhuru wa mawazo
na fikra kulinganisha na vyama vingine ndo maana vyama hivi ni kama NGOs
ambazo humilikiwa na wachache na uongozi wa kiimla.

Kwa ujumla ninazo sababu nyingi tu, lakini niseme tu kwamba CCM bado ni
chama chenye mvuto zaidi nchini.

Hongera kwa kujitoa ufahamu.
 
Afadhali yao omba omba kuliko mafisadi.

Uombe wanachama wako, unaowachombeza wanatandikwa, wana kaa juani kutwa kuwangoja kisha hivyo visenti vyao walivyowachangisha mnakwenda kujengea majumba mahawara? halafu unasema bora ya hayo? amma kweli.
 
Kama huweiz kuandika kwenye JF shout ur mother ----er mouth of.....Unaijua Chadema ina majambazi wangapi????wakwepa kodi wangapi??? wahujumu uchumi wangapi?? haujiulizi kwa nini mwenyekiti ni milionea na hataki kujenga ofisi ya Chama....kwa nini kuna ubinafsi? kwa nini Lema hazungumzi maendeleo? kwa nini chama hakishirikiani na wengine? hii ni nchi moja lazima utambue lengo ni kuijenga na si kuibomoa kwa maneno ya kipuuzi kama yako.
 
Back
Top Bottom