Hatimaye nimejiunga rasmi CCM na kupewa kadi ya uanachama!

Hatimaye nimejiunga rasmi CCM na kupewa kadi ya uanachama!

MoDs wana siri jamani, yaani hapo wanacheka maana wanakujua hii ni ID yako ya ngapi ili uendeleze mapambano ya mtandaoni. Boss wako ameshakuona nenda kachukue buku saba kwa boss wako.
wana siri mbona kubwa,maana ka ip adress kamoja,kila sekunde kana log in kwa user name kama saba hivi,ni balaa tupu kweli kweli.
 
Mode futa uchafu huu . Kwani kila mtu akileta sehemu alizojiunga kutatosha humu kweli?
 
Baada ya muda mrefu wa uchambuzi wa kina kabisa kuhusu kujiunga na chama cha siasa, hatimaye nimeamua rasmi kujiunga na CCM na nimepewa kadi ya uanachama.

Nimeamua kujiunga CCM kwa sababu ndicho chama chenye rasilimali watu makini na bora zaidi kuliko chama chochote nchini, ambao wanaweza kuiongoza nchi hii.
Pili, mm ni muumini sana wa amani; napema amani na huchukia sana watu wanaohubiri uvunjifu wa amani.

Demokrasia na uhuru ndani ya chama; CCM ni chama chenye uhuru wa mawazo na fikra kulinganisha na vyama vingine ndo maana vyama hivi ni kama NGOs ambazo humilikiwa na wachache na uongozi wa kiimla.

Kwa ujumla ninazo sababu nyingi tu, lakini niseme tu kwamba CCM bado ni chama chenye mvuto zaidi nchini.
tena tungependa umwingize na mkeo ili awe kada; lakini baadaye usikimbilie kwenye DNA.
 
Kwa kawaida mtazamaji wa mpira, ni mchezaji bora kuliko aliyepo kwenye pich. hata mimi nikiviangalia vyama vingine ni watazamaji tu kelele nyingilakini hawajaonyesha lolote mbali na maruzuku wanayopewa sanasana ni kugombania, hakuna ofisi zinazojengwa wala wanachama wanaoendelezwa miaka zaidi ya 20 sasa wanaweza kujinadi wamefanya nini kama siyo kelele tu. tukisubutu kuwapa tutajuta, Hongera mwaya kwa kuja CHAMA DUME CCM.
 
Kama huweiz kuandika kwenye JF shout ur mother ----er mouth of.....Unaijua Chadema ina majambazi wangapi????wakwepa kodi wangapi??? wahujumu uchumi wangapi?? haujiulizi kwa nini mwenyekiti ni milionea na hataki kujenga ofisi ya Chama....kwa nini kuna ubinafsi? kwa nini Lema hazungumzi maendeleo? kwa nini chama hakishirikiani na wengine? hii ni nchi moja lazima utambue lengo ni kuijenga na si kuibomoa kwa maneno ya kipuuzi kama yako.

Wengi wanakurupuka tu CHADEMA, CHADEMA! Hawaijui chadema! Chadema ni wa kuogopwa kama ukoma
 
mnajiita chama cha mapinduzi,mlimpindua nani? Ccm ni sawa ukoo wa panya,baba mwizi,mama mwizi,hadi watoto wezi,kwa hiyo huyo anayesema amejiunga rasmi na ccm yy pia ni mwizi na vilevile ni mnafiki kwani vijana wenzetu tubadilike tuache unafiki.

Huyo atakuwa mbunge wa gamba ila anatuzuga cc, hatubadilik vjana ndio mabadliko kamili peopleeeeeees!!!
 
Demokrasia na uhuru ndani ya chama; CCM ni chama chenye uhuru wa mawazo na fikra kulinganisha na vyama vingine ndo maana vyama hivi ni kama NGOs ambazo humilikiwa na wachache na uongozi wa kiimla.

Mistari hii michache ushaonyesha 'woga' wako ..! Ni hivi CDM sio tatizo kwa Chama chako kipya, tatizo ni kushindwa kufahamu kwa nini na kwa ajili ya nani kiko madarakani ni kifanye nini cha HALALI ili kiendelee kuwa madaraki..! Kwa ligha nyepesi ni kama umeoa afu hujui wajibu na majukumu yako ndani ya nyumba...MWALI atakukimbia tu tena muda sio mrefu..
 
tena tungependa umwingize na mkeo ili awe kada; lakini baadaye usikimbilie kwenye DNA.

Asituzuge et ccm ndo chama bora, hawana lolote pia kama yy amechukua kadi ya magamba sisi tufanye nn, mtoto wa gamba ni gamba, aenda akawaambie waliomtuma kuwa jamaa hawahitaji magamba.
 
Back
Top Bottom