Ilankunda1234
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 4,840
- 4,813
OkWewe utakua CHECHEMAA ALMARUF CCM.
Siri ya utajiri waijua ilhali uko kwenye umaskini wa kutupwa. Dada yangu hiyo siri ungeijua muda huu ungekua uko bize unachuma pesa. Lkn nakuona huku hata hela ya Balimi ya kusukutua wanzuki huna.
Acha maneno wwNapenda mafanikio, napenda kua na mitazamo chanya ya kimaisha, napenda maisha mazuri, napenda utajiri, napenda pesa, napenda kusoma habari za matajiri wengi wa dunia hii Inaweza kua Africa au nje ya Africa..nikisema tajiri namanisha tajiri anyefanya biashara Fulani, tajiri anayefanya mziki, n.k.. hua nikisikilizaga story zao hua lazima kuna mahali kama panakuaga panarukwa hivi lakin baada ya kujipa nadhari kwamba lazima hio sehem inayorukwaga niijue hatimae nlipoingia chimbo na kutafuta kwa kina kupelekea hata kusafiri nje ya nchi na kupitia maonyo kadha wa kadha hatimaye nimeijua Siri hii
Kama ambavyo na mimi ningependa kupita hapo ila changamoto ipo ambayo naitaji mtu ambaye hela haimpi stress sana na ambaye anatamani kufanikiwa zaidi na zaidi either katika biashara au chochote tu basi ni share naye hii "classified information" tuweze kuona tunasaidiana vipi. Ni hayo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Thank you sir.Kuna watu wanafundisha jinsi ya kuanza kufanya biashara bila mtaji ,,watafute watakusaidia kiasi chake Mkuu
Cheka upasuke.[emoji23][emoji23][emoji23] kwakweli
Sent from my iPhone using JamiiForums
HUNA TOFAUTU na wale WAZEE Wa ILE PESA TUMA kwenye NAMBA HII...Napenda mafanikio, napenda kua na mitazamo chanya ya kimaisha, napenda maisha mazuri, napenda utajiri, napenda pesa, napenda kusoma habari za matajiri wengi wa dunia hii Inaweza kua Africa au nje ya Africa..nikisema tajiri namanisha tajiri anyefanya biashara Fulani, tajiri anayefanya mziki, n.k.. hua nikisikilizaga story zao hua lazima kuna mahali kama panakuaga panarukwa hivi lakin baada ya kujipa nadhari kwamba lazima hio sehem inayorukwaga niijue hatimae nlipoingia chimbo na kutafuta kwa kina kupelekea hata kusafiri nje ya nchi na kupitia maonyo kadha wa kadha hatimaye nimeijua Siri hii
Kama ambavyo na mimi ningependa kupita hapo ila changamoto ipo ambayo naitaji mtu ambaye hela haimpi stress sana na ambaye anatamani kufanikiwa zaidi na zaidi either katika biashara au chochote tu basi ni share naye hii "classified information" tuweze kuona tunasaidiana vipi. Ni hayo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Napenda mafanikio, napenda kua na mitazamo chanya ya kimaisha, napenda maisha mazuri, napenda utajiri, napenda pesa, napenda kusoma habari za matajiri wengi wa dunia hii Inaweza kua Africa au nje ya Africa..nikisema tajiri namanisha tajiri anyefanya biashara Fulani, tajiri anayefanya mziki, n.k.. hua nikisikilizaga story zao hua lazima kuna mahali kama panakuaga panarukwa hivi lakin baada ya kujipa nadhari kwamba lazima hio sehem inayorukwaga niijue hatimae nlipoingia chimbo na kutafuta kwa kina kupelekea hata kusafiri nje ya nchi na kupitia maonyo kadha wa kadha hatimaye nimeijua Siri hii