Hatimaye nimeijua Siri ya wafanyabiashara matajiri

Siri ya utajiri ni bidii yako kwa ile kazi unayoifanya huku matumizi yako yakiwa madogo kuliko unachokipata.

Wewe kama umekula faida kwa kuzunguka mpaka nje ya nchi ukitafuta tunguri imekula kwako,,,,, kumtapeli mtanzania awamu hii sio rahisi, labda uwe kibaka ukabe kwa nguvu [emoji23][emoji23]
 
Ok.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe utakua CHECHEMAA ALMARUF CCM.
Siri ya utajiri waijua ilhali uko kwenye umaskini wa kutupwa. Dada yangu hiyo siri ungeijua muda huu ungekua uko bize unachuma pesa. Lkn nakuona huku hata hela ya Balimi ya kusukutua wanzuki huna.
 
Kuna watu wanafundisha jinsi ya kuanza kufanya biashara bila mtaji ,,watafute watakusaidia kiasi chake Mkuu
 
Back
Top Bottom