biko


  1. AKILI TATU

    Hatimaye nimecheza biko leo

    Kama kichwa kisemavyo, leo nimeamua kujaribu kuwachangia watu wa biko Tsh buku. So hapa nangoja, kama si nyumba hizo zinazotolewa nos, naweza kushinda milioni kadhaa. Naomba mniombee ili nifanikiwe. Nikishinda nitaleta mrejesho hapa, na kama ni waongo Pia nitaleta mrejesho
  2. waleti

    Njia 7 za kufanya taaluma yako ikunufaishe kimapato ktk uchumi wa sasa wa kidijitari

    Watu wengi wamepata elimu mpaka chuo lakini level za taaluma zao zimekuwa haziendani na level za mapato yao! Mapato yao yamekuwa chini tofauti na vyeo vya taaluma zao! Unaweza kuta mtu anaitwa engineer, doctor, mkemia, mwalimu, architect, economy analyst… na vyeo vingine vingi, lakini kima cha...
Top