50 Cent kachangia nyumba ya million 100
Mzigo wako pia mimi siwezi kuuacha usotee jela uwe chakula ya manyapara lazima nikurudishe uraianiWenye hela tayari washafanya yao..
Mzigo kama huo hauwezi kuachwa usote Jela
Najiuliza jinsi anavyojamba ushuzi unatokaje sipati majibu sio kwa hayo maputo huko nyuma ambayo yule Miss alienda kuyachomoa na Vera Sidika nae alienda kuyachomoa na huyu akiyachomoa atakua km mchongoma ndipo hapo watu watashangaa imekuaje kumbe maputoSiwalaumu maana si kwa mtako ule japo ni wa bandia. Sema tu binti ni mjinga; na bado hajajifunza cho chote!
View attachment 3274447View attachment 3274448
Najiuliza jinsi anavyojamba ushuzi unatokaje sipati majibu sio kwa hayo maputo huko nyuma ambayo yule Miss alienda kuyachomoa na Vera Sidika nae alienda kuyachomoa na huyu akiyachomoa atakua km mchongoma ndipo hapo watu watashangaa imekuaje kumbe maputo
Hapa ni kabla hajayaweka maputo
View attachment 3274590
Hapa ni baada ya kuyaweka maputo
View attachment 3274592
Mapichapicha
View attachment 3274593
Kutoka Maktaba
View attachment 3274597
Anajifaragua wakati huko jela kakaaa muda mrefu 180m sio pesa ndogo kama hana assets za kueleweka. Labda ahonge sana kesi ipigwe dana dana asogeze siku uraiani.Mujela jela katoka kwa fujo sana ,sasa kama ulikuwa hauhitaji michango sasa mbona unawatukana watu na kuita wanafiki? Wewe Tabu Mbaga si ulisema una jumba la bilioni moja? Hakuna hata walioanza kurudisha michango ,majina yote ya mwanzo ni ya kwako ,rudisha pesa za watu ,dhuluma ni mbaya sana.
Naona kawaahidi watu atawapa msabwanda
Hii namba 8 au kiuno Cha nyiguSiwalaumu maana si kwa mtako ule japo ni wa bandia. Sema tu binti ni mjinga; na bado hajajifunza cho chote!
View attachment 3274447View attachment 3274448
Na ndivyo itakavyotokea atahonga ili iamuliwe wamalizane kimtaa na hapo ndipo watakapolia ,wamshenyete mahakamni wasikubali kumalizana naye kimtaa.Anajifaragua wakati huko jela kakaaa muda mrefu 180m sio pesa ndogo kama hana assets za kueleweka. Labda ahonge sana kesi ipigwe dana dana asogeze siku uraiani.
Alikuwa mrembo Black beautyNajiuliza jinsi anavyojamba ushuzi unatokaje sipati majibu sio kwa hayo maputo huko nyuma ambayo yule Miss alienda kuyachomoa na Vera Sidika nae alienda kuyachomoa na huyu akiyachomoa atakua km mchongoma ndipo hapo watu watashangaa imekuaje kumbe maputo
Hapa ni kabla hajayaweka maputo
View attachment 3274590
Hapa ni baada ya kuyaweka maputo
View attachment 3274592
Mapichapicha
View attachment 3274593
Kutoka Maktaba
View attachment 3274597
Wewe Ungekuwa bwana jela ule mzigo ungeuacha? Sema ukweli usiwe mnafiki.๐ Mbona katoka na kelele hivyo kama hakua jela?