black hawk87
JF-Expert Member
- Jan 25, 2020
- 678
- 1,247
Mwanamke akishakolezwa huko nje jeuri kibao ndani ya nyumba na kama aliekutana nae ana kipato kukuzid dharau zinakuwa nying Sana ndani ya nyumbaYour right japo nafasi hio sidhani kama unaweza kupata.
Ila jua sisi ni wakristo inapotokea mwenzako anasema ametoka nje ya ndoa sababu kutafuta faraja kwakua si mjali (kumtoa date) na yeye ana uhitaji mkubwa wa pesa or kwa sababu yeyote ile kutoka nje ya ndoa tunaamini si suluhisho.
Nilimwambia aande nyumbani kwao apumzike akasema hapana atapanga kumbe shida aendelee na hawara wake waishi pamoja kama sasa wanavyoishi
Wenye mikia tutawapata nje au sio...![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kumbe we ulimaindi ma.tako mzee baba? Tushawaambia sana humu oa mwanamke mwenye tabia nzuri nyie mnachagua wenye matako makubwa ooh tabia tutarekebishana[emoji28][emoji28][emoji28] umeona kazi hio sasa?!!!
DAH! NA UNANYOTIA HURUMA, INAONEKANA UNGEKUWA KUKU UNGECHUKULIWA NA KUNGURU..!πKama ndiyo hivyo,nakushauri hata hao wanao kawapime DNA kimyakimya bila kumwambia mtu,ukishapata majibu kaa nayo mwenyewe kimyakimya!!
Mwisho wa siku kamuacha mkewe, ili awe huru. Na pia ni kanuni ya matajiri kuwapa talaka wake zao baada ya hatua fulani ya mafanikio.Wanaume tumtafute sana Mungu atupe wake wema,hela hata Bill Gates sio tu anatafuta ila anazo lakini mwisho wa siku...
Hahahah sio kesi ila hakikisha tu isije ikatokea siku umefulia tu huna sh.10 lazma ile kwako maana matako makubwa na hela ni kama kipimo cha futi na fundi seremalaπ π π ! Demu wa aina hio yupo kama mchwa kula hela zako siku zikiisha anasepa anakuachia kilio tu!Sasa kuna maana gani ya kuoa mwanamke ambaye hana tako wakati wewe hicho ndicho upendacho?
Hawa ni kuwagegeda tuu na kuwazalisha na kusepa zakokweli kabisa changamoto sio mwisho wa maisha ni safari tu unapitia
kuhusu kua na vyanzo vya mapato ni kumfungulia mke biashara ukiwa na maana apate maitaji yake na familia endapo baba atakwama ila iko tofauti kwa dada zetu akiwa na biashara umempa ww anaota mapembe na kiburi hawezi kukuvumilia hata miezi mitatu kipindi hauna kazi utasikia siwez kua baba katika hii familia wakati anaelewa unayopitia
ila nahisi tumeumbwa tofauti mwanaume anaweza ishi na mwanamke ambae hana biashara wala kazi maisha yote ila mwanamke miezi tu inamshinda cha ajabu anaringa na kitu ulicho mpa ww.
WALA MKUU! TATIZO DUNIA IMEISHA NDUGU.Wenye mikia tutawapata nje au sio...!
Shida imekuja sku hzi hata ukioa sura ya kawaida tako flat screen ukimtunza vizuri aka Anza ku shine na kusifiwa ohhhh Wana nzengo Wana Anza kujichapia....
Sijui tu deal na Bikira???! Tutafute watoto tu
Wale wanawake warembo kama midoli ni wa kupiga tu! Unachapa zako mashine kisha unasepa sio eti unajifanya kiboloika unaoa kabisa. Utafeli!!!Wenye mikia tutawapata nje au sio...!
Shida imekuja sku hzi hata ukioa sura ya kawaida tako flat screen ukimtunza vizuri aka Anza ku shine na kusifiwa ohhhh Wana nzengo Wana Anza kujichapia....
Sijui tu deal na Bikira???! Tutafute watoto tu
Wanawake hawanaga huruma jaman na mtu....labda mama yako tu...nakumbuka nilipomaliza chuo ile misoto ya mtaan..nikaachwa na mtu ambae tulidate for karibia 4 yrs ..pika pakua...kisa yeye alipata kaz mapema TRA...ila sasa toka hyo 2014...kaja kuolewa2021...nayeye kuachana kwetu alisema yeye anataka ndoa...hyo ndo changamoto yenu wadada..sio wavumiliv....sasa hiv kila kukicha anafatilia status zangu...mara kuniwish bday.mara anataka nikienda mkoa alipo tuonane.....kwa jinsi nilivyo jeur na ego kama zote...niliwai kutana nae mwaka jana hotelin mkoa aliko...halaf tukala chakula tu akiexpect tungepasha kiporo ila hakuamin jinsi nilivyomkwepa...mim nna kinyaa cha ajabu.yaan nilale nawew.halaf nijue umeenda lala na mtu mwingne..aisee..naweza tapika kabisa...labda kwa penz jipyaPole kwa yaliyokukuta mkuu! Huna budi kukubaliana nayo na kujipa muda siku utampata mama mwingine bora mtakayewalea watoto wenu pamoja kwa upendo, kuhusu pesa nadhani kuna wanawake wanaweza vumilia waume zao na kuwaombea Mungu aruhusu baraka za kipato ktk familia, si wote wanaonuna na dharau eti sababu mume amefulia.
Pia tujitahidi kuwa na vyanzo vingi vya mapato ili ukikosa huku unapata sehemu nyingine maisha yanaendelea. Itasaidia kuepusha kisirani
Usemayo ni kweli kabisa na mie nawasupport kabisa wenye matako makubwa kutubwaga pale hela inapotea. Sii ana soko so the highest bidder will always prevail.Hahahah sio kesi ila hakikisha tu isije ikatokea siku umefulia tu huna sh.10 lazma ile kwako maana matako makubwa na hela ni kama kipimo cha futi na fundi seremalaπ π π ! Demu wa aina hio yupo kama mchwa kula hela zako siku zikiisha anasepa anakuachia kilio tu!
Ulibugi men...ulitakiwa umgegede alafu baadae una muomba mfanye threesomeWanawake hawanaga huruma jaman na mtu....labda mama yako tu...nakumbuka nilipomaliza chuo ile misoto ya mtaan..nikaachwa na mtu ambae tulidate for karibia 4 yrs ..pika pakua...kisa yeye alipata kaz mapema TRA...ila sasa toka hyo 2014...kaja kuolewa2021...nayeye kuachana kwetu alisema yeye anataka ndoa...hyo ndo changamoto yenu wadada..sio wavumiliv....sasa hiv kila kukicha anafatilia status zangu...mara kuniwish bday.mara anataka nikienda mkoa alipo tuonane.....kwa jinsi nilivyo jeur na ego kama zote...niliwai kutana nae mwaka jana hotelin mkoa aliko...halaf tukala chakula tu akiexpect tungepasha kiporo ila hakuamin jinsi nilivyomkwepa...mim nna kinyaa cha ajabu.yaan nilale nawew.halaf nijue umeenda lala na mtu mwingne..aisee..naweza tapika kabisa...labda kwa penz jipya
Hahahah ila sasa kwa nature ya maisha yalivyo pia yana seasons! Kuna nyakati za Neema na nyakati za dhiki sasa ukiwa na mtu ambaye hayuko flexible ndio mambo yakuja kunyanyasana na kusalitiana yatafata! Ukiwa na demu mrembo mwenye matako makubwa anawaza maisha ya show offs tu always na kula bata kubadilisha ndinga! Siku ukifulia anahamia kwa mwenzio mwenye nazo we unaachwa hapo kama katuni na njaa zako!π π π π πUsemayo ni kweli kabisa na mie nawasupport kabisa wenye matako makubwa kutubwaga pale hela inapotea. Sii ana soko so the highest bidder will always prevail.
Sasa flat nyash akitonhgozwa leo june mtongozo mwengine mpaka december kwa nini asiwe na tabia nzuriπ€£π€£π€£π€£π€£π€£
All in all mwanamke mrembo wee kiwa nae ukiwa na hela na sasambua mbususu kwa furaha yako basi. Dont expect much.
Kasi ya ubachelor inaongezeka speed kudadadeki π π π maana majuto kashakuwa mjukuuVijana wakiskia hivi na hawana hela wanazidi kuwa ma bachelor
Wee labda kwa vile unatafuta love. Sie wengine tunatafuta kusasambua mbususu so hilo tulishalikubali. Huna hela huna haki ya kumiliki mremboHahahah ila sasa kwa nature ya maisha yalivyo pia yana seasons! Kuna nyakati za Neema na nyakati za dhiki sasa ukiwa na mtu ambaye hayuko flexible ndio mambo yakuja kunyanyasana na kusalitiana yatafata! Ukiwa na demu mrembo mwenye matako makubwa anawaza maisha ya show offs tu always na kula bata kubadilisha ndinga! Siku ukifulia anahamia kwa mwenzio mwenye nazo we unaachwa hapo kama katuni na njaa zako!π π π π π
I donβt need this kind of relationship!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapana usioe kwa tamaa Mimi nilio shepu kumbe kichwani box tupu
Hahahah ungemkaza tu mzee baba hapo umeniangusha! Unamkaza af unamlia Ubuyu tu no beibe beibez!Wanawake hawanaga huruma jaman na mtu....labda mama yako tu...nakumbuka nilipomaliza chuo ile misoto ya mtaan..nikaachwa na mtu ambae tulidate for karibia 4 yrs ..pika pakua...kisa yeye alipata kaz mapema TRA...ila sasa toka hyo 2014...kaja kuolewa2021...nayeye kuachana kwetu alisema yeye anataka ndoa...hyo ndo changamoto yenu wadada..sio wavumiliv....sasa hiv kila kukicha anafatilia status zangu...mara kuniwish bday.mara anataka nikienda mkoa alipo tuonane.....kwa jinsi nilivyo jeur na ego kama zote...niliwai kutana nae mwaka jana hotelin mkoa aliko...halaf tukala chakula tu akiexpect tungepasha kiporo ila hakuamin jinsi nilivyomkwepa...mim nna kinyaa cha ajabu.yaan nilale nawew.halaf nijue umeenda lala na mtu mwingne..aisee..naweza tapika kabisa...labda kwa penz jipya
Hahahah mzee unapozungumzia kutafta mbususu hamna ambaye hatafuti ila huwezi weka malaya ndani sababu ya kukidhi fantasies zako! Mie sihitaji watoto wakose mama mwenye akili timamu π π π ! Kama hujafikiria kuoa uko sahihi mzee...Wee labda kwa vile unatafuta love. Sie wengine tunatafuta kusasambua mbususu so hilo tulishalikubali. Huna hela huna haki ya kumiliki mrembo