Cactusamani
Member
- Feb 25, 2021
- 15
- 18
Una sali? Basi mlilie Muumba wako, tubu pale ulipokosea. Isaiah 43:25-26Asalaam,
Ndoa yangu ilikua nzuri saana kwasababu tulianza tukiwa vijana wadogo maskini, kutokana na hivyo tuli inspire vijana wengi na ndoa nyingi kusimamia.
Tuka barikiwa watoto wazuri. Mungu alitubariki na unafuu wa maisha wa kupata tunachokita kwa level ya maisha ya kawaida.
Ya Mungu Mengi.Nina rafiki yangu wa karibu, sio kuhadithiwa ni kushuhudia, alifanyiwa vituko hivo vya kufanya tendo la ndoa mpaka siku za hedhi kwa miezi 8 mfululizo. Siku walipoachana yule mwanamke akamtumia kipimo chake alichopima miezi 8 nyuma cha HIV kikisoma ameathirika pamoja na tarehe. Na akamuambia hakuanza dose za ARV kwa makusudi ili amgawie na yeye hayo maradhi.
Jamaa alichanganyikiwa akawa anaongea peke yake, ndugu na marafiki ilibidi tusaidiane kumpeleka kwa daktari wa saikolojia akatibiwe. Dokta
Point to note!! Tujitaid kuwa na vyanzo ving vya mapatoPole kwa yaliyokukuta mkuu! Huna budi kukubaliana nayo na kujipa muda siku utampata mama mwingine bora mtakayewalea watoto wenu pamoja kwa upendo, kuhusu pesa nadhani kuna wanawake wanaweza vumilia waume zao na kuwaombea Mungu aruhusu baraka za kipato ktk familia, si wote wanaonuna na dharau eti sababu mume amefulia.
Pia tujitahidi kuwa na vyanzo vingi vya mapato ili ukikosa huku unapata sehemu nyingine maisha yanaendelea. Itasaidia kuepusha kisirani
Angalizo hasira za kuvunjika ndoa yako tafadhari usiende kuziamishia kwa wanawake wengine, maana huwaga hamuna huruma baada ya hapoAsalaam,
Ndoa yangu ilikua nzuri saana kwasababu tulianza tukiwa vijana wadogo maskini, kutokana na hivyo tuli inspire vijana wengi na ndoa nyingi kusimamia.
Tuka barikiwa wtoto wazuri. Mungu alitubariki na unafuu wa maisha wa kupata tunachokita kwa level ya maisha ya kawaida.
Mkuu Oa haraka acha uzembeNashukuru saana kwa ushauri hata hivyo Mungu mwema maana nilikua napitia mateso saana kwa huyu mwanamke Mungu ameniweka huru.
Kuhusu mke mwingine hapana wanangu ni wadogo saana
Tunaoa wanawake wanakuja kujihifadhi kimaisha huku wakiacha vipenzi vyao nje na hata vya baadae, mwanamke aliekubali/kujipendekeza/kushawishi kuolewa kwa kukidhi haja zake nje na upendo wa dhati kwa mume hitimisho kama lako ni baraka na furaha kiroho kwa maana sasa pepo lililodumu kwa kipindi fulani limeondoka. Jipongeze kwa ushindi wa MunguAsalaam,
Ndoa yangu ilikua nzuri saana kwasababu tulianza tukiwa vijana wadogo maskini, kutokana na hivyo tuli inspire vijana wengi na ndoa nyingi kusimamia.
Wanaume tutafute hela, ndo thamani yetu!
#Mwanamkemkwelinimamayakotuu
Mimi pia nimejiuliza na kushangaaKwahiyo amlete mke wake jf aje aseme jambo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukawa unazagamua damu zinamwagika wewe noma Mkuu
Pole sana brother. Its seems hakuwa kwakonsababu ya upendo.. mali au pesa.Asalaam,
Ndoa yangu ilikua nzuri saana kwasababu tulianza tukiwa vijana wadogo maskini, kutokana na hivyo tuli inspire vijana wengi na ndoa nyingi kusimamia.
Dah nimecheka sana yani 😅😅😅 sikuingine usiongee hiviPole sana mkuu ndio ukubwa,kwa hyo umekuwa single father
Mkuu ulijuaje kwamba mkeo ana hawara?Your right japo nafasi hio sidhani kama unaweza kupata.
Ila jua sisi ni wakristo inapotokea mwenzako anasema ametoka nje ya ndoa sababu kutafuta faraja kwakua si mjali (kumtoa date) na yeye ana uhitaji mkubwa wa pesa or kwa sababu yeyote ile kutoka nje ya ndoa tunaamini si suluhisho.
Nilimwambia aande nyumbani kwao apumzike akasema hapana atapanga kumbe shida aendelee na hawara wake waishi pamoja kama sasa wanavyoishi
Wazee mmeamua kuachilia ndoa zikwende?mkuu nipe taratibu za kufuata kisheria maana na mimi niko njia moja...soon nitakuwa single father
We umeamua kuja kumkejeli bradha au sio? Aliyekwambia kuna wanawake wanaovumilia dhiki sikuhizi ni nani? Tukianza na wewe, unaweza kuishi na mwanaume ambaye hana kipato kwa muda flani? Hebu kuwa mkweli tu maana swala la hela limekuwa kipengele sana sikuhizi kiasi kwamba watu wamekosa utu kabisa yani usipokuwa na hela huthaminiki. Wewe unaweza kuishi kwa adabu na heshima na mume ambaye hana sh.10 bila makelele na kumnyanyasa?Pole kwa yaliyokukuta mkuu! Huna budi kukubaliana nayo na kujipa muda siku utampata mama mwingine bora mtakayewalea watoto wenu pamoja kwa upendo, kuhusu pesa nadhani kuna wanawake wanaweza vumilia waume zao na kuwaombea Mungu aruhusu baraka za kipato ktk familia, si wote wanaonuna na dharau eti sababu mume amefulia.
Pia tujitahidi kuwa na vyanzo vingi vya mapato ili ukikosa huku unapata sehemu nyingine maisha yanaendelea. Itasaidia kuepusha kisirani
Alikuwa anamuelezea kuhusu wewe kila kitu chako mpaka kufulia kwako, pole kweli.Ange weza kuniua huyu maana hawara anadai ananijua kindaki ndaki wakati binafsi simjui
Huu msemo umenifurahisha sanaDah pole sana mkuu, hakika una busara na hekima japo umepitia jambo zito ila hujaonesha dalili ya kumkufuru mungu wala kutokwa na matusi wala kupanga njama dhidi yao. Ila huwezijua mungu amekuepusha na nini kutoka kwa huyo mkeo, pengine mungu amekuepusha na maradhi au kifo (Kuuliwa Kwa Sumu n.k).
Kumbuka haya maneno yangu, huu mwaka hautoisha bila ya wewe kufanikiwa kimaisha kama utauvuka huu mtihani. Pia jiandae, ipo siku atarudi na kukupigia magoti huku akilia kama mtoto mdogo kwa makosa aliokufanyia.
Leo nimeamini ile kauli "Mke mwema ni kuku peke yake, kwasababu hulea vifaranga vyake bila kumtegemea wala kumsumbua kwa lolote jogoo".
Mwanamke anaangalia future hata miaka kumi mbele, akiwa na matumaini kuwa japo umefulia lakini anaona yapo matumaini ya wewe kupata hela tena ndipo utakiona hicho kinachoitwa mke kuvumilia mume asiye na pesa. Lakini akiwa na uhakika kuwa umeishagota na hakuna hope ya kuibuka then hakyna mke atamvumilia mume wa aina hiyo.Asalaam,
Ndoa yangu ilikua nzuri saana kwasababu tulianza tukiwa vijana wadogo maskini, kutokana na hivyo tuli inspire vijana wengi na ndoa nyingi kusimamia.
Roho inauma kwakua sikutegemea kama wanangu wataishi na mzazi mmoja.
Nakubali mzee babaKila siku tunawahubilia humu kuwa mwanaume jipende kwanza wewe ....ndugu zako ni hao wanao ..... Huyo mkeo muda wowote kama alikua Mke Wa Juma basi anakua Mke Wa john hamuelewi na kutuona sisi ni wambea tunachonganisha ndoa zenu.
Narudia tena
Mwanaume simamia sana ulicho nacho dhidi ya mkeo ....maana hiyo ndio faraja yako na nguvu yako kwa huyo mkeo , hawa wanawake sio watu wazuri ni kama Bomu muda wowote linalipuka Ila ndio haijulikani SAA ngapi .