Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,648
- 6,409
- Thread starter
-
- #21
Amen!Sasa umekua. Masingo father tuko wengi na maisha yanasonga. Kama ulivyosema cha muhimu ni kutafuta pesa na kuwekeza vizuri sehemu mbalimbali. Hata usipokuwa tajiri, mwanaume kuwa na uwezo wa kuwatimizia mahitaji ya msingi wanao pamoja na wewe mwenyewe ni muhimu sana.
Naam! Kwa sasa chapa kazi sana. Tunza hela zako. Walee wanao kwa upendo mkubwa wala usichukie wanawake wote. Hii ni changamoto tu unapitia. Na ukisimama imara katika misingi sahihi utashangaa hata huyu mtalaka wako akatamani kurudi huko mbele ya safari.
Mungu hatakuacha mkuu. I am rooting for you [emoji1545]
Swala la maradhi mpaka sasa sielewi maana alikua ananizuga kunipa sex every day hadi kwenye hedhi ili kunifumba macho niamini kakolea nikaumwa balaa.... Sijui itakuaje ila binafsi kwakua nilitulia kwenye ndoa Mungu atanisaidiaDah pole sana mkuu, nimeheshimu sana busara yako uliokua nayo japo umepitia jambo zito ila hujaonesha dalili ya kumkufuru mungu wala kutokwa na matusi. Ila huwezijua mungu amekuepusha na nini kutoka kwa huyo mkeo, pengine mungu amekuepusha na maradhi au kifo (Kuuliwa Kwa Sumu n.k).
Leo nimeamini ile kauli "Mke mwema ni kuku peke yake, kwasababu hulea vifaranga vyake bila kumtegemea wala kumsumbua kwa lolote jogoo".
We have to be very careful tukimuomba MunguDuuuh sometimes ndoa zinakua chanzo cha watu kupoteza dira ya maisha, pole sana mkuu.
Ndo maana nasema Ronaldo hajakosea kabisaAsalaam,
Ndoa yangu ilikua nzuri saana kwasababu tulianza tukiwa vijana wadogo maskini, kutokana na hivyo tuli inspire vijana wengi na ndoa nyingi kusimamia.
Tuka barikiwa watoto wazuri. Mungu alitubariki na unafuu wa maisha wa kupata tunachokita kwa level ya maisha ya kawaida.
Basi ghafla maisha yakabadilika nikaanza kupitia magumu kiuchumi hata jero mtihani kupata.
Balaa lilianza hapo kudharaulika, kununiwa, Visa vya kila aina mpaka hatimaye Mimi ndiye nikawa "mama wa nyumbani" na yeye akawa anarudi nyumbani ka guest house ni kulala tuu bila kujali hata watoto wanna hali gani.
Biashara nimemfungulia mwenyewe, na hata kodi nimekua nikimsaidia kulipa. Pamoja sasa Sina shughuli maalumu lakini Mungu ananisaidia kumudu kutimiza mahitaji muhimu ya familia yangu.
Sasa amepata mwanaume mwingine na amendhibitishia na nilipohitaji aende kwao akapumzika akaniambia hawezi atabaki Dar aendeleze maisha yake kwakua anashida saana ya hela. Kumbe Nia yake ni kuendelea kuishi na huyu mwanaume.
Leo nimedhibitisha. Ndoa yangu haitakuwepo tena baada ya kukamilisha taratibu za kisheria.
Roho inauma kwakua sikutegemea kama wanangu wataishi na mzazi mmoja.
Wanaume tutafute hela, ndo thamani yetu!
#Mwanamkemkwelinimamayakotuu
No hasara tuupuSafi sana. Achana na wanawake, tafuta pesa , hakuna cha maana katika mapenz kwa sasa.
Binafsi nililelewa na single mother hivo niliomba isitokee kwa wanangu lakin ndo hivo Mungu ameruhusuPole mkuu.. inaumiza sana kuona watoto wanalelewa na mzazi mmoja na zaidi kama hukuzaliwa katika familia yenye mitala,basi uchungu zaidi ni pale watoto wanapochanganya matumbo ya mama. Hakunaga umoja
Hawara wake ananitumia msg kwamba ni meshindwa kumtunza na kumjali mke wangu yaani jinsi alivyokolezwaPole sana kaka. Kuachana ni matokeo tu; Usiwahukumu wanawake wote kwa yaliyokutokea.
angalia ulipojikwaa songa mbele. Mungu awe pamoja nawe
Ange weza kuniua huyu maana hawara anadai ananijua kindaki ndaki wakati binafsi simjuiMtihani wa kimaisha uliokupata umekusaidia sana kumfahamu aliyekuwa mkeo, bila huo mtihani hayo yote yasingefichuka.
Shukuru umepata la kujifunza, endelea kupambana mambo yatakaa sawa
Hapana usioe kwa tamaa Mimi nilio shepu kumbe kichwani box tupuDaah umeandika kwa uchungu sn.pole mkuu Mungu atakupigania.Ndo maana naona kuna utashi fulani hivi kutokuoa .Muhimu uwe na watoto tu basi
Ulikwishaoa mkuu?Daah umeandika kwa uchungu sn.pole mkuu Mungu atakupigania.Ndo maana naona kuna utashi fulani hivi kutokuoa .Muhimu uwe na watoto tu basi
Nina rafiki yangu wa karibu, sio kuhadithiwa ni kushuhudia, alifanyiwa vituko hivo vya kufanya tendo la ndoa mpaka siku za hedhi kwa miezi 8 mfululizo. Siku walipoachana yule mwanamke akamtumia kipimo chake alichopima miezi 8 nyuma cha HIV kikisoma ameathirika pamoja na tarehe. Na akamuambia hakuanza dose za ARV kwa makusudi ili amgawie na yeye hayo maradhi.Swala la maradhi mpaka sasa sielewi maana alikua ananizuga kunipa sex every day hadi kwenye hedhi ili kunifumba macho niamini kakolea nikaumwa balaa.... Sijui itakuaje ila binafsi kwakua nilitulia kwenye ndoa Mungu atanisaidia
Pole sana najua hio kitu inauma.... Jikaze tu ndo uanaume huo. Kinachouma zaidi watoto but fikiria kwanza, bado nafasi zipo keep it up songaAsalaam,
Ndoa yangu ilikua nzuri saana kwasababu tulianza tukiwa vijana wadogo maskini, kutokana na hivyo tuli inspire vijana wengi na ndoa nyingi kusimamia.
Tuka barikiwa watoto wazuri. Mungu alitubariki na unafuu wa maisha wa kupata tunachokita kwa level ya maisha ya kawaida.
Basi ghafla maisha yakabadilika nikaanza kupitia magumu kiuchumi hata jero mtihani kupata.
Wanaume tutafute hela, ndo thamani yetu!
#Mwanamkemkwelinimamayakotuu
Mzee huyo usimwache aisee, jitoe tu sadaka usipokufa Leo utakufa kesho, kwani umebahatika kumjua alipo?Hawara wake ananitumia msg kwamba ni meshindwa kumtunza na kumjali mke wangu yaani jinsi alivyokolezwa
Kwahiyo amlete mke wake jf aje aseme jambo?pole sana mkuu, lakini mimi kaa mtaalamu wa mambo ya ndoa na mambo kaa hayo, nimesikia upande wako tu, siwezi kusema lolote kabla sijasikia toka kwa aliyekuwa mwenza wako, i mean your x, i am someone who never ever allows my emotions to overide my knowledge and intelligence, so ningependa sana kwanza kusikia toka kwa your x kabla ya kusema lolote, naona watu wanakupa pole, lakini mimi i came to conclusions and make rulings after i hear from both parties, its unfair to hear from only one side