Ndo maana nikasema hizi stori za kuskilizaga upande mmmoja hazinaga mizania.Ni so sad aisee
Uhalisia ni kwamba mtoa mada ana tatizo la kimaumbile,na mke was not having it...
Mi nadhani hii issue would never work out....
Mwanamke hana tatizo,this thing was not correct tangu mwanzo...mwanamke naona hana shida,kuna pahala huyu mwamba alikua anamzuga bidada
It is all fine,sio wanaume wote wana maumbile makubwa na sio ajabu mwanamke kuondoka sababu ya maumbile,she deserve to be happy na mwamba awe happy na mwanamke mwingine mwenye kidudu kidogo size ya uume wake...
It is a fair exchange..no need for all these fracas mpaka JF nk nk nk
Mnaachana kibingwa kama mwanangu Gates...as long as sababu mnazijua na hakuna mwenye kosa hapo,maumbile hamna nayo commanda,mmeyakuta,kila mmoja afate size yake inayomfaa!
Ntaanzaje kwanza kumliza mke wangu?ndio Mana nikiwa nasoma visa vya wake za watu humu huwa namuona mke wangu ni wa pekee SanaAweee[emoji3059][emoji3059]
Mwenyezi Mungu azidi kuwabariki. Musiharibikiwe na lolote lile. Akazidi kukujaza. Hongera kwa kuepuka kiburi cha uzima. Nakuhakikishia baraka uzipokeazo sasa ni kutomnyanyasa mwenzako. Na mkeo akifurahi jua na wewe mambo yako yanazidi kubarikiwa. Yanafunguka mno. Epuka sana mwanamke wako akiwa analia sana juu yako... sasa utajiri ukaongezeke muende zenu kutembea beach za uraya... au unasemaje?[emoji4][emoji4]
Ole wako umuache sasa 😅😅😅Ni kweli,Mimi nilioa Sina kazi na sikuwa hata na hela,mpenzi wangu(mke kwa Sasa) akasema usiogope tukifunga ndoa baraka zitakuja na kweli Mungu ametubariki.Huyu mwanamke nimeishi naye maisha magumu jaman khaaa
Hahahah mkuu shukuru mungu umepata mke aisee! Kuna wanawake wana upendo sana jamani 😀😀😀 mungu azidi kumbariki huyo mwanamke maana msoto uliompitisha still akawa na adabu inaonesha jinsi gani ambavyo yupo loyal kwako!Aisee Mimi ni shahidi wapo wanawake wanaovumilia dhiki,mke wangu ni wa pekee Sana,nimeishi naye miaka 12 ya dhiki kuu mpaka Kuna kipindi nilitamani Mimi ndio nimwambie aniache maana anateseka Sina hata mia.Kumbuka kipindi chote hicho hakuwahi kunionyesha dharau na akawa ananipa kadi ya bank Mimi ndio niwe natoa mshahara.Mungu mkubwa Sasa hivi tuna maisha mazuri wote ni waajiriwa
Kwa maoni yangu kile kitendo cha kwenda kwa mwanamme mwingine kama mwenye kuleta mada anasema kweli basi haya uliyosema sikubaliani nayo. Angesema anakwenda kupanga na kuendelea na maisha yake basi ningkubaliana na usemi wako huu.Pole sana mkuu, lakini mimi kaa mtaalamu wa mambo ya ndoa na mambo kaa hayo, nimesikia upande wako tu, siwezi kusema lolote kabla sijasikia toka kwa aliyekuwa mwenza wako, i mean your x, i am someone who never ever allows my emotions to overide my knowledge and intelligence, so ningependa sana kwanza kusikia toka kwa your x kabla ya kusema lolote, naona watu wanakupa pole, lakini mimi i came to conclusions and make rulings after i hear from both parties, its unfair to hear from only one side
Aminaaaa.... mshikilie sana. Usimkose ukaja kutana na akina magige. Utaumbuka msibani kwako. Tutatupa shada lake na tutaimba injili iende mbere[emoji4][emoji23][emoji23]Ntaanzaje kwanza kumliza mke wangu?ndio Mana nikiwa nasoma visa vya wake za watu humu huwa namuona mke wangu ni wa pekee Sana
Unajua unaweza sema nakuza Mambo,huyu mwanamke ni wa ajabu Sana Yan kipindi anafanya kazi mi nazurura na bahasha tu lkn Kama anataka kutoa hela kwenye akaunt yake(ya mshahara) basi lazima anipe taarifa,Yan hela ni zake lkn ananiomba atoe,just imagine.Hii imenifanya niwe muwazi Sana kwake anajua mshahara wangu na kadi za atm tunaweka pamoja na namba za Siri tumepeana.Aminaaaa.... mshikilie sana. Usimkose ukaja kutana na akina magige. Utaumbuka msibani kwako. Tutatupa shada lake na tutaimba injili iende mbere[emoji4][emoji23][emoji23]
Usifanye maisha kuwa magumu we mpe pole kwanza ,nani ana makosa sio big deal wewe kujua maana haitaji upatanisho wakoPole sana mkuu, lakini mimi kaa mtaalamu wa mambo ya ndoa na mambo kaa hayo, nimesikia upande wako tu, siwezi kusema lolote kabla sijasikia toka kwa aliyekuwa mwenza wako, i mean your x, i am someone who never ever allows my emotions to overide my knowledge and intelligence, so ningependa sana kwanza kusikia toka kwa your x kabla ya kusema lolote, naona watu wanakupa pole, lakini mimi i came to conclusions and make rulings after i hear from both parties, its unfair to hear from only one side
Jiandae, ukifanikiwa kuimarika kiuchumi tena, atakuja akiomba radhi kwa jicho legevu na machozi mengi, sura yenye huruma na kukwambia ni shetani tu alimpitia!Asalaam,
Ndoa yangu ilikua nzuri saana kwasababu tulianza tukiwa vijana wadogo maskini, kutokana na hivyo tuli inspire vijana wengi na ndoa nyingi kusimamia.
Tuka barikiwa watoto wazuri. Mungu alitubariki na unafuu wa maisha wa kupata tunachokita kwa level ya maisha ya kawaida. Basi ghafla maisha yakabadilika nikaanza kupitia magumu kiuchumi hata jero mtihani kupata.
Balaa lilianza hapo kudharaulika, kununiwa, Visa vya kila aina mpaka hatimaye Mimi ndiye nikawa "mama wa nyumbani" na yeye akawa anarudi nyumbani ka guest house ni kulala tuu bila kujali hata watoto wanna hali gani.
Biashara nimemfungulia mwenyewe, na hata kodi nimekua nikimsaidia kulipa. Pamoja sasa Sina shughuli maalumu lakini Mungu ananisaidia kumudu kutimiza mahitaji muhimu ya familia yangu.
Sasa amepata mwanaume mwingine na amenidhibitishia na nilipohitaji aende kwao akapumzika akaniambia hawezi atabaki Dar aendeleze maisha yake kwakua anashida saana ya hela. Kumbe nia yake ni kuendelea kuishi na huyu mwanaume.
Leo nimedhibitisha. Ndoa yangu haitakuwepo tena baada ya kukamilisha taratibu za kisheria.
Roho inauma kwakua sikutegemea kama wanangu wataishi na mzazi mmoja.
Wanaume tutafute hela, ndo thamani yetu!
#Mwanamkemkwelinimamayakotuu
Mbona tuupo wengi tu[emoji28][emoji28]Unajua unaweza sema nakuza Mambo,huyu mwanamke ni wa ajabu Sana Yan kipindi anafanya kazi mi nazurura na bahasha tu lkn Kama anataka kutoa hela kwenye akaunt yake(ya mshahara) basi lazima anipe taarifa,Yan hela ni zake lkn ananiomba atoe,just imagine.Hii imenifanya niwe muwazi Sana kwake anajua mshahara wangu na kadi za atm tunaweka pamoja na namba za Siri tumepeana.
Usihuzunike sana mzeee pisi kali zinahitaji hela kwa maana alifata hela sasa zimeisha inabidi aangalie upande wa pili,hiyo ndo maana halisi ya pisi kaliHapana usioe kwa tamaa Mimi nilio shepu kumbe kichwani box tupu
Hahaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndo utufokeee kiasi hiki na huo mwandiko wako ?
Kabisa maana sio kwa mihasira hiyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Daaaaaaah nazani wakati unaandika hii comment ulikuwa unapiga piga ukuta ngumi daaaaaaah sio kwa hii hasira
Wew ni mmoja wa wanaume walobahatika kupata wake wemaAisee Mimi ni shahidi wapo wanawake wanaovumilia dhiki,mke wangu ni wa pekee Sana,nimeishi naye miaka 12 ya dhiki kuu mpaka Kuna kipindi nilitamani Mimi ndio nimwambie aniache maana anateseka Sina hata mia.Kumbuka kipindi chote hicho hakuwahi kunionyesha dharau na akawa ananipa kadi ya bank Mimi ndio niwe natoa mshahara.Mungu mkubwa Sasa hivi tuna maisha mazuri wote ni waajiriwa
Pole Mkuu!!! Ni UKWELI usiotia shaka kuwa MAMA mzazi ndiyo mwenye upendo wa dhati na kweli kwa sisi WANAUME katika Dunia hii, kwani MAMA atakupenda ktk hali zote yaani atakupenda ukiwa masikini au tajiri siku zote...Asalaam,
Ndoa yangu ilikua nzuri saana kwasababu tulianza tukiwa vijana wadogo maskini, kutokana na hivyo tuli inspire vijana wengi na ndoa nyingi kusimamia.
Tuka barikiwa watoto wazuri. Mungu alitubariki na unafuu wa maisha wa kupata tunachokita kwa level ya maisha ya kawaida. Basi ghafla maisha yakabadilika nikaanza kupitia magumu kiuchumi hata jero mtihani kupata.
Balaa lilianza hapo kudharaulika, kununiwa, Visa vya kila aina mpaka hatimaye Mimi ndiye nikawa "mama wa nyumbani" na yeye akawa anarudi nyumbani ka guest house ni kulala tuu bila kujali hata watoto wanna hali gani.
Biashara nimemfungulia mwenyewe, na hata kodi nimekua nikimsaidia kulipa. Pamoja sasa Sina shughuli maalumu lakini Mungu ananisaidia kumudu kutimiza mahitaji muhimu ya familia yangu.
Sasa amepata mwanaume mwingine na amenidhibitishia na nilipohitaji aende kwao akapumzika akaniambia hawezi atabaki Dar aendeleze maisha yake kwakua anashida saana ya hela. Kumbe nia yake ni kuendelea kuishi na huyu mwanaume.
Leo nimedhibitisha. Ndoa yangu haitakuwepo tena baada ya kukamilisha taratibu za kisheria.
Roho inauma kwakua sikutegemea kama wanangu wataishi na mzazi mmoja.
Wanaume tutafute hela, ndo thamani yetu!
#Mwanamkemkwelinimamayakotuu
wewe utakuwa kati ya wanawake wachache wenye busara katika dunia hii. Hongera Mkuu...!!!Pole kwa yaliyokukuta mkuu! Huna budi kukubaliana nayo na kujipa muda siku utampata mama mwingine bora mtakayewalea watoto wenu pamoja kwa upendo, kuhusu pesa nadhani kuna wanawake wanaweza vumilia waume zao na kuwaombea Mungu aruhusu baraka za kipato ktk familia, si wote wanaonuna na dharau eti sababu mume amefulia.
Pia tujitahidi kuwa na vyanzo vingi vya mapato ili ukikosa huku unapata sehemu nyingine maisha yanaendelea. Itasaidia kuepusha kisirani