Hatimaye ndoa yangu imevunjika

Apo ndio weegi tunafeli.
Binafs ukishakua ex, kila kilichochako nafuta.

No need for more communication, hata urafiki wa kawaida sitakagi.

Tuishi tu ivyo ivyo BUYU BAYA kila mtu na hamsini zake.
Sasa mtu kakuacha, eti unashindwa kuendelea na maisha yako, unajaza tu uchungu unasubiri siku ajichanganye ukamkomeshe kwa kulala naye. Mtu kakuomba mwenyewe ulale naye, huko kumkomesha ndiyo unafanyaje hadi awe amekomesheka, labda uniambia unamkata mbususu; otherwise kulala naye ni kumpa tu starehe ambayo yeye mwenyewe ameitaka. Sasa sijui ukitoka hapo, ndiyo unatembea kifua mbeleeee umemkomesha teh. Uchungu huwa unakumaliza wewe mwenyewe kwanza kabla ya huyo aliyekusababishia.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]usitusagie sana kunguni wanaume bhana, sio wote sista
 
Si tumeona kwa vigogo wengi tu? Yanawakutaga na wanaacha funzo ila wengine kimyaaaa... hamujifunzi...
Cha kujifunza kipo,
Mwanamke wa kwanza ndio mke, hawa wengine ni sarakasi tu kama yale ya mzee MENGI
 
Mkuu hongera umepiga hatua moja mbele.
 
Jamaa kavuna alichopanda, fatilia post za nyuma utajua nini namaanisha
 
Mkuu naendelea kukupa hongera,umepiga hatua moja mbele.
 
Na wengi walivyo wajinga, basi ex akikusimulia changamoto alizopitia basi unajiona mwamba au cuteeee; kumbe mwenzio anatafuta tu pa kutolea genye zake tu au ana shida zake anakuingiza king umsaidie. Kama msamaha angekuja kukuomba while everything was still ok with him/her; sio msamaha fake kisa ameona ametingwa. Watu wajifunze ku-move on; ukiachwa achika
 
Yes. Its possible endapo jamaa huko akazingua. And obviously atazingua tu najua[emoji23][emoji23] sema sasa mke sasa hv anapata ukuni wa size XXXL itakuaje tena na raha ya gongo anaijua
Na mchepuko wa mkewe lazima tu azingue kwa maana katembea na mke wake lengo likiwa ni kumkomesha tu kumtia adabu wala sio mapenzi.

Kwaiyo nnaimani mwanamke yatamshinda na atarudi,
Ila somo jamaa atakua keshapata na akili itamkaa.
 
2016 huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji706]
Kabisa,
Awamu nzima ya mwendazake jamaa anachepuka tu uko.

Hivi sijui akifka uko mbinguni atamjibu nini kiongozi wa malaika (JOKE[emoji2])
 
Yaani wanakuumbua kweupeee... ukweli ni tiba daima. Unatibu. Usiwe na makandolando yako ukajisahau. Teknolojia haijawahi kusahau
Shida watu huleta mada ku paint vibaya partner's wao badala wasemd ukweli wapewe ushauri uliotukuka wao hujifanya malaika
 
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaa daaaahh, natamani ulete shuhuda ya matukio uliyopigwaaaa...
Magum mno,
Wee acha tu hivi vifua vyetu vinahifadhi mengi mno.

Mengine siwez kuweka humu hadharani,

Mi niliumia mno,
Sema kwa sababu nilijingundua ndio msababishi wa sarakasi zote zile za ukaidi na kushupaza shingo kwa kigezo cha niko tayar kua na mwaamke yeyote nnaemtaka kwa gharama yoyote.

Aisee liliponikuta nilikua mpole na mdogo kama piritoni nikafyata mkia maisha yakaendelea.

Namsifu sana mama watoto wangu kwa uvumilivu wake.

Ukilinganisha mizani mimi ndio nilimuumiza zaidi maana nilikua TOO MUCH.

Yaani kuna vitu nilikua naweza nikamfanyia afu baadae pemben nafs ikanisuta kwanini nilimfanyie vile, Sema tu ulikua ujeuri na kiburi.

Kwa sasa nimejifunza, na tunaenda vizur mno.

She is the best lover of my life.

Mungu akupe maisha marefu mno Mke wangu, japokua hauko jf wala hujui jf ni kitu gani.
 
Kumrudia ex
Ni kwenda tu kujisombea mikosi na mabalaa kwenye maisha yako.
 
How sweet. Mungu awatunze, na usirudie tena ukaidi.[emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…