Hatimaye ndoa yangu imevunjika

Nimeona mazingira yake kumbe alikuwa mshenzi tu kwa mkewe [emoji28][emoji28][emoji28]
Kibaya zaidi alkua na tabia ya kutafuna mademu wa wenzake kipindi alipokua na pesa.

Na aliemchapia mke wake ni mtu anaemfahamu vilivyo, ndo maana kapata jeuri ya kumrushia shombo.

Baba yangu aliwahi niambia
"Mwanangu kumbuka sana unapokua na kipato kizuri, ogopa sana kuchukua mwanamke wa mtu uliemzidi kipato"[emoji116]
 
Aisee ndoa ndoano
 
Hahahah atakula alipopeleka mboga hivi huu umalaya sijui watu wanahangaikaga nn wakati mtu ana mke mzuri [emoji28][emoji28][emoji28]
Changamoto sana,
Mungu atunusuru sana na uyu pepo sisi tuliokwenye ndoa
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ila na wewe si unapita mule mule kama jamaa? Si na wewe unasasambua sana mbususu ama?[emoji23][emoji23] muda wako waja pia maaninaaa zenu. Dawa tuwe na pesa tuu tuwaoe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kuna ela unaiskilizia eeh?
 
Imeandikwa
"Kila mmoja atabeba msalaba wake"

Ila huu msalaba wa mtoa mada ni mzito sana maana wanamchapia pale pale jiran na kwake.

Na kibaya zaidi,
Na maneno ya shombo wanamrushia.
Simpatii picha vile anapitia huu mjadala hapa ana recall matukio huku chozi likilowesha screen ya device anayoitumia
 
Hahahah mzee kakupanga vizuri, ukiwa na hela ukimpora mtu demu wake jua ipo siku utafulia na mwanamke huyo atarudi kwa mumewe utalia kinoma😅😅😅
 
Umeongea ukweli mtupu, Binafs uliyoyaongea nayaona kwa mke wangu.

Mungu ampe maisha marefu japokua chagamoto za hapa na pale zipo tunapamban nazo
 
We jamaa sio mtu mzuri aseeee, utamuua huyu mleta mada maake unagonga nyundo za kichwa[emoji1]
 
Mkuu mimi kwa wifi yako nakuwa mnyenyekevu balaa,hata akikosea namwelekeza kwa upole naogopa hikihiki uchosema
Mkuki kwa nguruwe...,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…