Hatimaye ndege ya Malaysia airline yapatikana huko Bermuda triangle

Hatimaye ndege ya Malaysia airline yapatikana huko Bermuda triangle

Status
Not open for further replies.
hii video imekuwa published

Published on Mar 20, 2014
[OFFICIAL] Malaysia Airlines Flight MH370 Crashed Into Indian Ocean All 239 DEAD | HD Video[OFFICIAL] Malaysia Airlines Flight MH370 Crashed Into Indian Ocean All 239 DEAD | HD Video[OFFICIAL] Malaysia Airlines Flight MH370 Crashed Into Indian Ocean All 239 DEAD | HD Video[OFFICIAL] Malaysia Airlines Flight MH370 Crashed Into Indian Ocean All 239 DEAD | HD Video[OFFICIAL] Malaysia Airlines Flight

how come and today Malaysians have launch the new search for the air craft.....

i can smell hoax...
 
Labda mimi ndo sielewi. Video inasema ndege ilianguka Indian ocean. Kwa uelewa wangu mdogo, bermunda unayoitaja kwenye heading yako iko atlantic ocean... Hebu fafanua mkuu.
 
video hiyo zilipendwa,mabaki hayajaonekana mpaka dakika hii
 
Ndege iliyo potea takribani mienzi minne iliyo pita yapatikana huko bermuda triangle sehemu ambayo vitu vingi sana huwa vinapoteaga sehemu hiyo

[OFFICIAL] Malaysia Airlines Flight MH370 Crashed Into Indian Ocean All 239 DEAD | FULL Video - YouTube

hii video imekuwa published

Published on Mar 20, 2014
[OFFICIAL] Malaysia Airlines Flight MH370 Crashed Into Indian Ocean All 239 DEAD | HD Video[OFFICIAL] Malaysia Airlines Flight MH370 Crashed Into Indian Ocean All 239 DEAD | HD Video[OFFICIAL] Malaysia Airlines Flight MH370 Crashed Into Indian Ocean All 239 DEAD | HD Video[OFFICIAL] Malaysia Airlines Flight MH370 Crashed Into Indian Ocean All 239 DEAD | HD Video[OFFICIAL] Malaysia Airlines Flight

how come and today Malaysians have launch the new search for the air craft.....

i can smell hoax...

mhh !!
 
Labda mimi ndo sielewi. Video inasema ndege ilianguka Indian ocean. Kwa uelewa wangu mdogo, bermunda unayoitaja kwenye heading yako iko atlantic ocean... Hebu fafanua mkuu.

Uko sahihi ndugu yangu. Jamaa anaanika ujinga wake jinsi asivyojua Geography. Bermuda triangle iko North Atlantic ocean na wala si Indian Ocean. Taarifa ya kipuuzi hii.
 
Na watu wanapenda kusingizia Bermuda Triangle hata pasipo faa,
 
Hili ndio tatizo la watu kufanya dhiaka kwenye majanga ya wenzao
 
Mie nijuavyo,utafiti wa ndege hiyo ulisitishwa kwa sababu fulanifulani hivi,but this week ndio wameanza tena na hakuna breaking news yoyote we mwenzetu taarifa hizi umezipata wapi?na taarifa ya kwenye hiyo video mbona ni ya siku nyingi?
 
Naona mleta habari alikuwa mjumbe wa BMK kule Dodoma.Anadanganya mchana kweupe.
 
Labda mimi ndo sielewi. Video inasema ndege ilianguka Indian ocean. Kwa uelewa wangu mdogo, bermunda unayoitaja kwenye heading yako iko atlantic ocean... Hebu fafanua mkuu.
Ni uongo au ujinga!
 
Hivi karibuni Australia media walitangaza kupokjea vifaa vya kisasa zaidi vitakavyotumika kuisaka upya MH370, hivyo habari zinazotokea huenda ikawa hivo ni wiki ya pili sasa tangu meli zipelekwe huko
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom