Kweli nshomile Yale University....Siku zote mkataa kwao ni mtumwa. Najivunia kuwa mtanzania japokuwa maisha yangu mengi sijaishi Tz.
Jana nimeongea na mama, kaniambia michakato ya chanjo dhidi ya COVID19 ipo mbioni...jana hiyo hiyo kamati ya usalama wa familia yetu iliniambia nijiandae kwenda Tanzania kukamilisha ahadi zangu juu ya uwekezaji katika gesi na madini.
Pia nichukue nafasi hii kuwaomba msamaha watanzania wenzangu kwa shida iliyotokea tarehe 8. Naiombea serikali msamaha maana kama wangeruhusu mchezo ule...familia isingeniruhusu nichangamane na watu ambao hawachukui tajadhali dhidi ya corona.
Waziri pole sana kwa kikaripiwa kwa sababu yangu.
Nikifika Tz, nitaenda moja kwa moja katika mji wa Chato kutoa rambirambi zangu kwa niaba ya familia ya prof. Rutashorwa wa Yale University, Marekani.
Kisha nitatembelea miradi ya familia ikiwemo migodi ya dhahabu Chunya , Shinyanga.
Mwisho nitaenda kumuona mjomba Ruge mahabusu.
Hahahaaa nouma sanaMuhaya ni muhaya tu awe wa Tandika au Kamachumu tabia zao ni zilezile
[emoji16][emoji16]Una taaluma gani?
Nitumie info. zako ukiambatanisha VISA ya USA kwenye DM.
unadhani VISA ya USA Ni kama makalio kila mtu anayo.Una taaluma gani?
Nitumie info. zako ukiambatanisha VISA ya USA kwenye DM.
AiseeeUna taaluma gani?
Nitumie info. zako ukiambatanisha VISA ya USA kwenye DM.
Mkuu mimi sio mwenyeji wa Bukoba...napasikia tu...nilikuwa nasimuliwa na bibi...kuwa wazazi wao wanatokea huko...ni asili asili yetu.
Siku zote mkataa kwao ni mtumwa. Najivunia kuwa mtanzania japokuwa maisha yangu mengi sijaishi Tz.
Jana nimeongea na mama, kaniambia michakato ya chanjo dhidi ya COVID19 ipo mbioni...jana hiyo hiyo kamati ya usalama wa familia yetu iliniambia nijiandae kwenda Tanzania kukamilisha ahadi zangu juu ya uwekezaji katika gesi na madini.
Pia nichukue nafasi hii kuwaomba msamaha watanzania wenzangu kwa shida iliyotokea tarehe 8. Naiombea serikali msamaha maana kama wangeruhusu mchezo ule...familia isingeniruhusu nichangamane na watu ambao hawachukui tajadhali dhidi ya corona.
Waziri pole sana kwa kikaripiwa kwa sababu yangu.
Nikifika Tz, nitaenda moja kwa moja katika mji wa Chato kutoa rambirambi zangu kwa niaba ya familia ya prof. Rutashorwa wa Yale University, Marekani.
Kisha nitatembelea miradi ya familia ikiwemo migodi ya dhahabu Chunya , Shinyanga.
Mwisho nitaenda kumuona mjomba Ruge mahabusu.
Sasa visa ya US inahusika Vp na ajira?! 😄😄Una taaluma gani?
Nitumie info. zako ukiambatanisha VISA ya USA kwenye DM.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa visa ya US inahusika Vp na ajira?! [emoji1][emoji1]
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji134][emoji134][emoji134]