Hatimaye narudi Nyumbani Tanzania

Hatimaye narudi Nyumbani Tanzania

Junior Rutashoborwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2019
Posts
228
Reaction score
210
Siku zote mkataa kwao ni mtumwa. Najivunia kuwa mtanzania japokuwa maisha yangu mengi sijaishi Tz.

Jana nimeongea na mama, kaniambia michakato ya chanjo dhidi ya COVID19 ipo mbioni...jana hiyo hiyo kamati ya usalama wa familia yetu iliniambia nijiandae kwenda Tanzania kukamilisha ahadi zangu juu ya uwekezaji katika gesi na madini.

Pia nichukue nafasi hii kuwaomba msamaha watanzania wenzangu kwa shida iliyotokea tarehe 8. Naiombea serikali msamaha maana kama wangeruhusu mchezo ule...familia isingeniruhusu nichangamane na watu ambao hawachukui tajadhali dhidi ya corona.

Waziri pole sana kwa kikaripiwa kwa sababu yangu.

Nikifika Tz, nitaenda moja kwa moja katika mji wa Chato kutoa rambirambi zangu kwa niaba ya familia ya prof. Rutashorwa wa Yale University, Marekani.

Kisha nitatembelea miradi ya familia ikiwemo migodi ya dhahabu Chunya , Shinyanga.

Mwisho nitaenda kumuona mjomba Ruge mahabusu.
 
Hongera sana Ruta kwa kukumbuka nyumbani, bila shaka majuzi umeona uzi humu ukionesha kituo cha mabasi kule nyumbani kabisa... I mean, Bukoba!!

Ningekushauri uje na Engineers wako kabisa ili wakakujengee Uwanja wako wa ndege manake kama kituo cha mabasi tu kipo vile, vipi kuhusu uwanja!

Sio hivyo tu, customer care kwa ndege zetu (domestic flights) ni mbovu sana, kiasi kwamba wanaweza kukuchelewesha kazi zako. Muhimu ni kuja na private jet ili kuondokana na kero za ATCL lakini usitegemee rubani mwenye viwango vyako hapa TZ!

Kwa mwekezaji mzalendo kama wewe, usalama wako ni jambo muhimu lakini serikali yetu haiwezi kuwa ubavu wa kuhakikisha usalama wenye viwango vya mtu wa aina yako.
 
Mkuu mimi sio mwenyeji wa Bukoba...napasikia tu...nilikuwa nasimuliwa na bibi...kuwa wazazi wao wanatokea huko...ni asili asili yetu.
 
Mtoto wangu siwezi kumuita junior wanakuaga na matatizo Sana + kudekadeka na kujilegeza
 
Siku zote mkataa kwao ni mtumwa. Najivunia kuwa mtanzania japokuwa maisha yangu mengi sijaishi Tz.

Jana nimeongea na mama, kaniambia michakato ya chanjo dhidi ya COVID19 ipo mbioni...jana hiyo hiyo kamati ya usalama wa familia yetu iliniambia nijiandae kwenda Tanzania kukamilisha ahadi zangu juu ya uwekezaji katika gesi na madini.

Pia nichukue nafasi hii kuwaomba msamaha watanzania wenzangu kwa shida iliyotokea tarehe 8. Naiombea serikali msamaha maana kama wangeruhusu mchezo ule...familia isingeniruhusu nichangamane na watu ambao hawachukui tajadhali dhidi ya corona.

Waziri pole sana kwa kikaripiwa kwa sababu yangu.

Nikifika Tz, nitaenda moja kwa moja katika mji wa Chato kutoa rambirambi zangu kwa niaba ya familia ya prof. Rutashorwa wa Yale University, Marekani.

Kisha nitatembelea miradi ya familia ikiwemo migodi ya dhahabu Chunya , Shinyanga.

Mwisho nitaenda kumuona mjomba Ruge mahabusu.
Nshomile ni nshomile tu hata umpeleke Makunduchi atajifaragua tu kuonyesha yeye ni Nshomile na ana uwezo mkubwa kwao wakti ni lofa tu hata nyumba zao hazina msingi, mshindo kidogo tu nyumba chini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom