Hatimaye na Mimi yamenikuta

Kuna mbuzi Hawa sijui Nani kawamezesha hiyo kauli ya kutafuta pesa ....Mimi naamini haya ni mapunda ya wanawake yanafanya kazi ngumu Kama mabuludoza yakipata hela yanakimbilia kuwapa manamke na mapunda mengine hata denda hayaambulii ...
 
Unasema ulitaka na wewe ukachepuke na mke wa huyo mgoni wako?

Unazani inawezekana kirahisi kiivyo? [emoji3][emoji3]

Labda huyo mwanamke naye awe hajielewi au umkute yuko desperate as a coincidence!

Lakini hata kama akiwa desperate siyo rahisi kukubali kulalwa na Mwanaume yeyote tena bila kupanga na kujiridhisha kiusalama .
 
Ha ha ha ni rahisi Sana. Uamuzi tu
 
Wewe mkeo humsugui vya kutosha ngoja jamaa akunyoshee, mwanamke unampiga mashine kwa huruma sasa ngoja baharia akuoneshe ila nakushauri mtafute mke wa jamaa kula mashine na wewe utulie akija mumewe akigundua atakuheshimu kwasasa hakuna heshima hapo na wataendelea kulana
 
Pole sana,kuna mmoja ananisumbua wiki sasa na tulishachanaga miaka 5 iliopita na kaolewa ,na ana mtoto wa miaka 2.alafu eti anataka atoroke kwa mmeo aje kwangu, wakati alishindwa kunivumilia akaenda kuolewa,leo tena anasema mimi ndio nilikuwa chaguo jema kwake.
 
Mimi tayari nimeshamwambia yaani siku nikigundua unafanya mautumbo sijui maini nafunga biashara. Sina ubia na biashara kichaa!! Sijali kama tumezaa wala nini napiga chini.

Na asihangaike sirogeki(limbwata)!
 
Hapo ni kutumia akili na kuiacha hisia.
 
Asante Mkuu. Achana nae huyo
 
Kuna jamaa mmoja yeye anaamini wanawake wote ni b*tches, hvyo huwa anatia mimba tu na kulea. Ana watoto tisa na kila mtoto ana mama yake.

Simlaumu kwa maamuzi yake, kufuatia hii story.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…