Hatimaye Muasisi wa Mtandao wa WikiLeaks akamatwa Uingereza

Julian Assange ambaye ni muasisi mwenza wa Mtandao wa WikiLeaks, amedakwa na Polisi jijini London, Uingereza baada ya kukaa mafichoni kwa takribani miaka 7.

Jamaa alilazimika kukimbia nchini mwake kutokana na hofu ya kuuawa kwa namna ambavyo mtandao wake ulikuwa ukifichua nyaraka za siri za mataifa mbalimbali, hasa Marekani.

Ubalozi wa Ecuador ambako ndiko alipokuwa akifichwa kwa kinga maalum (asylum) umesema umelazimika kumtosa jamaa baada ya kuvunja masharti mbalimbali.

My take: Huenda jamaa wamemuuza aisee!
===========

Julian Assange: Wikileaks co-founder arrested in London

Mr Assange took refuge in the embassy seven years ago to avoid extradition to Sweden over a sexual assault case that has since been dropped.

The Met Police said he was arrested for failing to surrender to the court.

Ecuador's president Lenin Moreno said it withdrew Mr Assange's asylum after his repeated violations to international conventions.

But WikiLeaks tweeted that Ecuador had acted illegally in terminating Mr Assange's political asylum "in violation of international law".

Home Secretary Sajid Javid tweeted: "I can confirm Julian Assange is now in police custody and rightly facing justice in the UK.

"I would like to thank Ecuador for its cooperation & metpoliceuk for its professionalism. No one is above the law."

Mr Assange, 47, had refused to leave the embassy, claiming if he did he would be extradited to the United States for questioning over the activities of WikiLeaks.

Source:

Alizungua January alipotoa documents za siri za Vatican.....Ecuador wakanawa mikono, huyo hapo mikononi mwa Polisi....
 
Jamaa alilazimika kukimbia nchini mwake kutokana na hofu ya kuuawa kwa namna ambavyo mtandao wake ulikuwa

WACHA kutulisha matango pori wewe mwandishi uchwara!

Wapi wamesema alikuwa anakimbia kuuawa nchini mwake?
 
Mpaka waseme? Mzee hapa ni JF.. We think beyond the boundaries!

Hivi HATA unajua Political Asylum zinatolewa kwa kigezo gani?
 
Amebaki Edward Snowden
Julian Assange ambaye ni muasisi mwenza wa Mtandao wa WikiLeaks, amedakwa na Polisi jijini London, Uingereza baada ya kukaa mafichoni kwa takribani miaka 7.

Jamaa alilazimika kukimbia nchini mwake kutokana na hofu ya kuuawa kwa namna ambavyo mtandao wake ulikuwa ukifichua nyaraka za siri za mataifa mbalimbali, hasa Marekani.

Ubalozi wa Ecuador ambako ndiko alipokuwa akifichwa kwa kinga maalum (asylum) umesema umelazimika kumtosa jamaa baada ya kuvunja masharti mbalimbali.

My take: Huenda jamaa wamemuuza aisee!
===========

Julian Assange: Wikileaks co-founder arrested in London

Mr Assange took refuge in the embassy seven years ago to avoid extradition to Sweden over a sexual assault case that has since been dropped.

The Met Police said he was arrested for failing to surrender to the court.

Ecuador's president Lenin Moreno said it withdrew Mr Assange's asylum after his repeated violations to international conventions.

But WikiLeaks tweeted that Ecuador had acted illegally in terminating Mr Assange's political asylum "in violation of international law".

Home Secretary Sajid Javid tweeted: "I can confirm Julian Assange is now in police custody and rightly facing justice in the UK.

"I would like to thank Ecuador for its cooperation & metpoliceuk for its professionalism. No one is above the law."

Mr Assange, 47, had refused to leave the embassy, claiming if he did he would be extradited to the United States for questioning over the activities of WikiLeaks.

Source:

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom