Jasusi,
Were the other parastatals sold with transparency? I would say yes. Much as I do not agree with most things Mkapa did in his administration, there were still, albeit 'token', advertisements of the parastatals to be sold. Did anyone apply to have those parastatals, particularly Kiwira, and failed because Mkapa had interest in it?
Would it make any difference were it not Mkapa? I would say yes. Because 1/400 parastatals goes to someone who decided to use his constitutional rights, then all hell break loose.
I saw a thread here wanting to take back Kiwira, guess what? because it is supposedly owned by Mswahili mwenzetu.
To be fair, let us, parallel to Kiwira saga, take a parastatal or two that we wish to take back, but those that were sold to non-ngozi nyeusi.
Otherwise, the idea that because Mkapa was president then he could not own hisa, is a flawed philosophy, at least legally, because he has got rights to own property!
That other mali ya umma went out the way we did not like, may not mean that in particular case of Kiwira, Mkapa bent the rules to obtain the shares. Kwa mtazamo wangu, Mkapa alikuwa ana tatizo kama la Kikwete la kupenda kusifiwa nje ya nchi, hasa na watu sio-ngozi nyeusi. Kwa hiyo walipotaka mali ya taifa, aliwagaia, lakini pia akitoa fursa sawa kwa Watanzania kuzimiliki, walau kwa mujibu wa hotuba moja aliyotoa.
The main questions from you are:
1. Did Mkapa use use madaraka aliyonayo kujipatia Kiwira? I'd say, no evidence. At least kwenye Kilimanjaro hoteli palijitokeza Mtanzania aliyelalamikia "mchezo mchafu" kuzuia jitihada zake za kuchukua mali ile. Nani aliyenyimwa taarifa au fursa za kujipatia Kiwira?
2. Ni sawa kwa Mkapa kuwa na hisa Kiwira, wakati ubinafsishaji wa mashirika ulikuwa ujuha mtupu? Nasema ni sawa ikiwa kanuni na taratibu zilifuatwa kujipatia Kiwira.
Swali langu, kwa nini Mkapa mnamwandama peke yake, miongoni mwa waliojipatia mali ya Tanzania? Jibu la Jasusi ni kwamba kwa vile Mkapa alikuwa madarakani, huenda alitumia madaraka yake vibaya. Nionavyo hizi ni hisia ambazo hazina uthibitisho. Kiwira ilibinafsishwa kama mashirika yale mengine. Sisemi kwamba ubinasfishwaji ulifanyika vizuri kwa mashirika yote, au kwamba ulikuwa unatekelezwa kisahihi, (walifanya ugenisishaji), lakini kwa case ya Kiwira, pasipokuwa na ushahidi, au basi hata madai ya kuwekewa kauzibe yasiyo na ushahidi, inabakia tu kwamba sisi Waswahili hatupendi 'maendeleo' ya ngozi nyeusi mwenzetu.
Mlenge