Millard ni moja ya watangazaji vijana maarufu wanaoaminiwa na watu wengi sana wenye heshima zao..
Taarifa muhimu nyingi unazipata kwenye kurasa zake...
Ila cha kushangaza kwa mda sasa huwezi kukuta habari yoyote ya WCB...najiuliza maswali Millard ni mwajiriwa wa clouds media ni kweli na yuko sahihi kutotangaza habari za WCB akiwa kwa mwajiri wake...cz wanabifu na WCB.
Sasa ayotv,IG page,YouTube ac na website ni zake binafsi kwann anaogopa kutoa habari za WCB?
Mbona sam misago anatoa habari za diamond bila kujali bifu iliyopo na EATV?
Mpaka mda huu ninavyoandika pitia IG page,na YouTube Ac ya Millard habari za WCB zinaviews nyingi kuliko habari yoyote ile...
Nakushauri adui arithiwi ...jari ur business..
jibu murua, bila shaka ushauri wako ataufanyia kaziKama Ayo TV haitangazi habari za MTU unayemtaka, kwanini usianzishe TV yako ili umtangaze?, MTU chake hapigwi mawe
ahahhahaHii krismas kuna dalili ya kunywa uji,
wadeni wangu wote wameenda mkoani na hawapatkan, hapa plan B ni kula hawa vifaranga wa Bloiler wa mwenye nyumba, akirudi namwambia vicheche walivamia mji.
Nna maisha magum sana nikikaa na kuanza kufikiria maisha ya mtu mwingine shida zangu zitaongezeka
Nipo busy kutafuta ugar wa mwanangu
😂😂😂👊Bando lake mwenyewe afu unampangia...
😂😂😂😂😂😂👏Ndugu Zangu Mniamini Niwafanyizie Kazi
Maendeleo Hayana Chama
Nna maisha magum sana nikikaa na kuanza kufikiria maisha ya mtu mwingine shida zangu zitaongezeka
Nipo busy kutafuta ugar wa mwanangu
Merry Christmas
Sijapeleka valid IDKwann JF hawakupi verified user??
Mkuu kama ulimskiliza kusaga alisema siku hizi anafanya partnership na wafanyakazi wa clouds na akamtaja Millard pia akamtaja B12 so mkuu ni hakika kuwa inachafanya Millard hiyo AYO tv na app si yake 100%Millard ni moja ya watangazaji vijana maarufu wanaoaminiwa na watu wengi sana wenye heshima zao..
Taarifa muhimu nyingi unazipata kwenye kurasa zake...
Ila cha kushangaza kwa mda sasa huwezi kukuta habari yoyote ya WCB...najiuliza maswali Millard ni mwajiriwa wa clouds media ni kweli na yuko sahihi kutotangaza habari za WCB akiwa kwa mwajiri wake...cz wanabifu na WCB.
Sasa ayotv,IG page,YouTube ac na website ni zake binafsi kwann anaogopa kutoa habari za WCB?
Mbona sam misago anatoa habari za diamond bila kujali bifu iliyopo na EATV?
Mpaka mda huu ninavyoandika pitia IG page,na YouTube Ac ya Millard habari za WCB zinaviews nyingi kuliko habari yoyote ile...
Nakushauri adui arithiwi ...jari ur business..
Sijapeleka valid ID
Mkuu kama ulimskiliza kusaga alisema siku hizi anafanya partnership na wafanyakazi wa clouds na akamtaja Millard pia akamtaja B12 so mkuu ni hakika kuwa inachafanya Millard hiyo AYO tv na app si yake 100%
Inawezekana lakini unaelekea kila kinachomlikiwa na wafanyakazi mara nyingi ni partnership unaweza kukuta hata car wash ya perfect ni partnership na dadake kusagaYupo Partnership na ruge
Inawezekana lakini unaelekea kila kinachomlikiwa na wafanyakazi mara nyingi ni partnership unaweza kukuta hata car wash ya perfect ni partnership na dadake kusaga