Hatimaye mid life crisis imenifikia

SanArt

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2026
Posts
1,104
Reaction score
1,946
Walituambia by 30s tayari tutakuwa na nyumba, gari, mke na watoto.

Kumbe 30s za wazee wako sio kama 30s za leo,

Mtu ana miaka 50s bado anaishi nyumba ya kupanga? 😂

Wazee, we are cooked.

Kila mtu ashinde mechi zake.

Kweli kabisa love is for, women children and dogs... A man is only respected for what he brings to the table.
 
Dunia inaenda kasi sana
 
Dunia inaenda kasi sana
Kuna jamaa alikuwa dereva wa gari la kampuni nilikuwa nafanya kazi, akija siku moja kua waken ndani ya gari tumetoka mahala akaniambia "am 38 na sioni nilicho fanya katika maisha yangu" it was so heart breaking.

Tukaishia kudiscuss mengi mpaka siasa, mpaka wanawake, mpaka ndugu... 😂 In short zama zinabadilika
 
Sijui imekuwaje yaani kila kitu kimekuwa na mlolongo tu . Ukisema usome sana ajira hakuna na ukisema ujiajiri mtaji nao ni mbinde ( aisee inachanganya sana bora kuishi tu )

Hebu fikiria una mawazo mazuri na yenye faida ukitaka kuyafanyia kazi kunakuwa na obstacles kibao.

Ukitaka mafanikio ya haraka labda uende kwenye siasa, kwenye siasa nako kuna mambo mengi. (Uchawa na ushirikina sana ) na kama dhamira yako ni ya kweli nenda Chadema na Chadema nako kupotea hapa duniani ni seconds sifuri tu.
 
Acha kabisa, kuna umri ukofika kama kuna vitu huja'accomplish lazima stress zikuandame!

Sema tunaishi tu!!
That's why unapaswa kuto ishi kwa expectations, Ishi kutokana na kilicho mbele yako. Sometimes it's not our fault but those who led us here. We might be jus t outcomes of a system built by those before us
 
Things have gotten worse.

Mimi naona kabisa, ni kheri ukapambana ukatafuta mwanya mzuri wa kukuingizia pesa na ukafunga bakuli, no one is really happy.

Na kuna enterview moja niliona jamaa anasema pesa ndo kila kitu, iwe inasakwa kwa uhalali au lah,

Ni kweli, because at the end of the day, kama huna huna tu. People won't care how you got it. We have to adapt.
 

Hapana. Hapo naona bado ndugu.

Mtu ana 40 yrs.
hana nyumba, hana gari, hana mtoto, hana mke/mume, hana hela na hana kazi/biashara nzuri,
Hana mwanamke/mwanaume anayeeleweka.

Alafu Ukiangalia ndugu marafiki na agemate wako. Wako far way better.

kwenye stage hiyo ndio hasa utaelewa mid life crisis.
 

Maisha sio riadha kwamba wote tutafika kwa wakati mmoja,kila mtu ana muda wake na mapito yake...​

Usijilinganishe na mtu yoyote yule kwenye maisha yako
Misemo ya kujifariji.

Maisha hayakusubirii, ukidhani kuwa kuna divine intervention itakuja kukuchukua ufikie mafanikio, you'll wait till you die.

Ni dhahiri kukubali kuwa wewe huna what it takes, na u level up, hakuna kingine
 
Najua, mkuu ila wanasema by 40 true life begins

Yaani mtu unakuwa umesha vuka mid life crisis.

Ila hapo ndo utaamka kabisa, maana huna cha kupoteza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…