joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 16,244
- 33,963
Sahivi wote wapo CCMView attachment 2221751WAHUNI wanajuana.
Hadi huyu anayempa kadi Lowasa.........?Sahivi wote wapo CCM
Unajipa kazi ambayo haina kichwa wala miguu. Unaweza kweli kupangia watu hisia?!Hivi Hawezi Kuendelea na Mambo Yao Bila Kumtaja Magufuli?
.
Imefika Wakati Sasa wale wenye chuki na Mzee Basi inatosha
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Eti nitatafuta kazi ulipwe usd 15,ooommh labda kama kwenye kampuni yake“Nilikwenda Nairobi, nikamuita Halima Mdee, akasafiri na Ester Bulaya. Nimekuwa nao siku 7 nikimshawishi Halima anieleze nini kilitokea, aligoma. Nikamuomba aache huo ubunge, nimemtafutia kazi Nairobi na RSA na atalipwa US$15,000 (Shs. 34.9M), Halima akagoma”.
“Halima ananiuma kwa sababu nyingi. Halima nimemtoa chuo kikuu akiwa msichana. Nimempika kwa gharama sana. Ndiyo maana nilitumia juhudi zangu zote hata kuwaita wazazi wake, wamshawishi aachane na ubunge wa damu wa Magufuli, anaharibu career yake, hakunielewa”.
“Nairobi nilipowaita Halima na Bulaya nilikuwa nakutana nao kila siku. Tunakula na kunywa pamoja. Nikimbembeleza Halima aachane na ubunge wa damu, mtetezi ni Magufuli, hayupo. Nikamuomba anieleze nini kilitokea, Hawakuwahi kunieleza hadi naondoka kwenda Dubai”.
“Kama haya nayoeleza hapa kuhusu Halima nadanganya, Halima yupo hapa asimame na aseme kama ni uongo. Akanushe kuwa sikumtafutia kazi NRB na RSA alipwe Shs. 34.9M, au kama sikuzungumza na wazazi wake, au sikumuita NRB kumshawishi aachane na ubunge wa Magufuli”.
“Siyo kazi rahisi kufukuza wanawake 19 ambao umewajenga kwa gharama, wapo wote mbele ya baraza kuu, nitawaomba sasa dada zangu hawa, aliye na jambo la kuzungumza asogee mbele asemee”.
Baada ya hapo mwenyekiti Freeman Mbowe akawaambia wajumbe “nadhani dada zangu wameona hawana kitu cha kuongea na wajumbe wa baraza kuu, mheshimiwa katibu mkuu, sasa nikuombee tuendelee na taratibu za kitaasisi, tusikilize rufaa zao na tufikie maamuzi” Wajumbe wakapiga kura!
Sasa wewe unaona ajabu iyo we jamaa maskini mmoja weweEti nitatafuta kazi ulipwe usd 15,ooommh labda kama kwenye kampuni yake
Kwa sababu aliitwa ni Halima na sio Ester.Kwa hiyo ukamtafutia kazi Halima ukamuacha Ester?.
Yeye kasema alimtoa chuo na Halima hakutoa pingamizialimtoa akiwa mwanafunzi au ana fundisha? huyu kaingia Chadema akitokea ofisi za umma kama mtumishi... wazazi wake ndio walikuwa chuo wakipiga vipindi (Nazani ni mzee mdee ndio alikuwa ana fundisha)
aweke wazi...
na wewe ukaamini kabisa! 😂Alaaaaa kumbe ni mpango wa kuwa wakimbizi wa kisiasa walio wengi eee?!!🤣🤣
Ester hakuwahi kulelewa na CHADEMA kama Halima. Ester amekuwa rafiki wa Halima tuKwa hiyo ukamtafutia kazi Halima ukamuacha Ester?.
Labda Jesus navas aliyekuwa mchezaj wa Manchester cityangekuwepo hayati mpendwa baba yetu makufuli yote haya yasingetokea jpm sasa hivi anakaa na yesu mbinguni
ukweli... msiwe mna danganywa...Yeye kasema alimtoa chuo na Halima hakutoa pingamizi
Wewe unataka unachowaza wewe ndo kiwe na sivyo alivosema ama?
Hivi watu wengine mnakulaga nini? Maana vichwa vyenu sijui vipoje khaaa
yesu anakaa na mafedhuli?angekuwepo hayati mpendwa baba yetu makufuli yote haya yasingetokea jpm sasa hivi anakaa na yesu mbinguni