Hatimaye Mbowe atoa ya moyoni kuhusu Halima Mdee

Hatimaye Mbowe atoa ya moyoni kuhusu Halima Mdee

Yaani ukweli sijawahi kuona kiongozi mwenye Busara kama Mbowe. Yaani kumbe nyuma ya pazia alifanya jitihada Sana kuwarudisha. Inaelekea walipewa pesa nyingi Sana na ahadi kibao pia nahisi walisaini mkataba wa kuwatisha wakijiuzulu au kukimbia nchi. Kweli pesa ina nguvu. Yaani Halima akakubali kupoteza sifa na nguvu kubwa ya Kisiasa aliyoipata kupitia Chadema? Poleni Sana CHADEMA. Ila malipo ni hapa hapa duniani.
Mbowe siasa anaiweza sn
 
Mbowe hana amanikabisa, niliona body language yake wakati anaulizwa na mwana blog mmoja kuhusu Uhuni wa baraza kuu aliousema Mheshimiwa Mdee, nae akasema waache uhuni 😂😂.
 
Ni mkuu wa Mashetani. Yaani Lucifer Mkuu.
😂😂 mkiambiwa msome mpate vyeti halali mnaleta ujanjaujanja wakipumbavu.
Ona sasa unavyo vurugwa kama kichaa.
Yani unamahasira mbaka yanamwagika, na hauta msahau mbaka unaingia kaburini.

Walaumu walio kutengenezea cheti feki.
 
Back
Top Bottom