Hatimaye Mbowe atinga mahakamani

Mbona kagoda hawakamatwi wamekula bilioni 40 zetu na bado wanapeta!

Wale wa Kagoda wamevaa mashati ya kijani ndugu yangu na mafungu yale ya Kagoda yalimwingiza Mkulu pale magogoni, sasa unategemea panya wakamatane wenyewe kwa wenyewe?
 
faizambea aya maneno ya magomen huku waleta ya nini? Ujue maneno ayo ni kielelezo cha kuishia std6 kwa kuwa waliwahi kukucheza!

Ilmu yangu huipati hata chembe, mwana hizaya usiyejuwa vibaya wee, si ya dunia wala ya dini wala ya ulimwengu. Halafu unaanza kuwakejeli watu wa Magomeni? huoni hata haya? na wao ndio walio kukaribisha Dar? una nini weye? Kuchezwa muhimu babuwee, mimi sio wa kichen pati.
 
Sauti yako kama ya Salma Kikwete vile, ka si wewe basi utakuwa nduguye
 
Back
Top Bottom