Hatimaye Mbowe atinga mahakamani

Wikiliki

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
528
139
Mh. Freman Mbowe,mwenyeki wa Chadema taifa na mkuu wa upinzani bungeni mchana huu ametinga mahakama ya hakimu mkazi Arusha kujua hatma ya dhamana yake. Anamngojea hakimu mfawidhi kwa ajili ya maelekezo yake.
 
Huyo hakimu ni mwana-CCM? Maana tatizo kubwa ninaloliona hapo ni vita kati ya CDM na CCM na wala hakuna kitu cha maana hapo kinachostahili kuimbiana nyimbo hizo. Mbowe akihamia ccm kesi zote dhidi yake kwishney
 
Subutu wamweke ndani,safari hii tutavunja gereza iwe uwanja wa ndege au Karanga Moshi
 
atuliye tu atayamaliza kwani kesi yake hailingani na wezi wa mabilion ya wananchi ambao mpaka sasa wapo
wanaendelea kuyakamua kitaa
 
Mh. Freman Mbowe,mwenyeki wa Chadema taifa na mkuu wa upinzani bungeni mchana huu ametinga mahakama ya hakimu mkazi Arusha kujua hatma ya dhamana yake. Anamngojea hakimu mfawidhi kwa ajili ya maelekezo yake.
JF Kiboko kweli kama WEAKLEAK, endelea kutujuza nini kinaendelea!!!!!!!!!!!
 
Huyo hakimu ni mwana-CCM? Maana tatizo kubwa ninaloliona hapo ni vita kati ya CDM na CCM na wala hakuna kitu cha maana hapo kinachostahili kuimbiana nyimbo hizo. Mbowe akihamia ccm kesi zote dhidi yake kwishney

Mahakimu wote wanatekeleza matakwa ya CCM. Hata Jaji Mkuu alikuwa kwenye Semina Elekezi Dodoma.
 
Haya majina ya kuazima tabu..

fox·y

   [fok-see] Show IPA

–adjective, fox·i·er, fox·i·est.
1.of or resembling a fox, esp in craftiness2.smelling strongly like a fox3.of a reddish-brown colour4.(of paper, wood, etc) spotted, esp by mildew5.(of wine) having the flavour of fox grapes6.(of oats) having a musty smell as a result of getting wet,fermenting, and drying out7.

Mbona hizi hujaziweka?, ya amma lugha inakupiga chenga au una mambo ya kizamaaani:

1. foxy
Not refurring to a fox itself but is instead o young and beautiful women. Duriving from the ancient british word of Foxismonitism, meaning attractive or sexually appealing, has evolved along the years to become a more well known, and someone slang word, foxy.
Laura Harlow is one foxy babe.
by Dr. J. S. Shmurman Jan 8, 2005
2. Foxy
One hot spunky piece of ass, who is just perfect.....
Ohh my god she is foxy

source: Urban Dictionary: foxy
 
Kwa faida gani utakayoipata akiwekwa ndani au kwa hasara gani akibaki huru? Endelea kusibiri uteuliwe kwa kiti maalum uwe kitu maalum

Kama yeye anatetea haki za raia wake na aonyeshe mfano wa kuiheshimu mahakama na atakapovunja amri ya mahakama afate sheria za mahakama, ya ama mdhamini wake ahudhurie au yeye, akikaidi hakuna mzaha.
 
Back
Top Bottom