Hatimaye Mbowe apewa dhamana


Unachanganyikiwa nini?, wakati kuna wezi na mafisadi hata kuwataja hawatajwi. lakini wanawaibia wananchi. Swala si mtu kuwa juu ya sheria, issue ni kwa nini viongozi wa CDM/ Chama cha wanyonge wanakamatwa hovyo? na baada ya kuona nguvu ya umma wanaachiwa au na sisi tuwe na jeshi letu la kuwakamata mafisadi wa CCM?
 
Ahasante Mkuu Kibakwe kwa hii taarifa, ni sawa kama tulivyo predict gharama kubwa bila sababu yoyote!!!!!!!!!! Maghamba tumia busara kidogo tafadhari tuepushieni hasara zisizo na msingi Watanzania!!!!!!!!!!
 
wee unapimaje umaarufu,mbona alikua rumande sasa amepiganiaje hiyo haki,na kama ni hivyo kuwekwa rumande ndio umaarufu basi mch. mtikila ndie jembe zaidi kuliko yoyote tanzani.

Amepigania haki kwa kulazwa rumande kwa ajili ya kupinga vitendo vya Jeshi la Polisi kutumiwa na CCm kuwabana wapinzani ambao wanatetea masahi ya umma na haki za wanyonge. Mbowe anachopinga ni vitendo vya Jeshi la Polisi kuwa na ubuguzi wa dhahiri ambao wabunge wa CCM wakifanya makosa ya jinai makubwa zaidi huombewa viabli kwa Spika ili anagalau kuhojiwa tu, lakini wabnge wa upinzani wakituhumiwa tu hukamatwa na kurundikwa ndani ii kukwamisha uamshaji wa wananchi.
 

Nadhani unafikiria zaidi kupitia ******, nxt time tumia ubongo.
FYI wakaazi wengi wa Arusha ni wakuja na ama wameamia kikazi au kutafuta maisha na pia elimu siyo vidato tu kama unavyodhania
 
Pia nadhani kuna tatizo la ufahamu wa taratibu ndani ya jeshi la polisi. RPC wa Mwanza labda ndiye anayefaa kuwa IGP.

Hiki kichwa achana nacho, shule imelala hapo na haikupata cheo kwa kubana miguu kama wengine bali ni elimu na uelewa wa (Mbayuwayu) kuchanganya na za kwake
 

Jazba uliyonayo imesababisha uchanganye mambo. Katika sakata hii Mahakama iliwaamuru Polisi wamkamate Mbowe, hawakujiamulia wao na hawana shida naye kwa sasa kwani shauri lililowakutanisha liko Mahakamani siku nyingi Huu mjadala umeuanzia mkiani, pole sana.
 
Pia nadhani kuna tatizo la ufahamu wa taratibu ndani ya jeshi la polisi. RPC wa Mwanza labda ndiye anayefaa kuwa IGP.

Inaenda bila kusema; said Mwema anafaa kuwa askari wa kawaida kwa vile inaonekana kazi za kuagizwa anazitekeleza kwa umakini wa kupita kiasi. Kazi na maamuzi yanayohitaji busara na hekima ni zero kabisa.
Baba akiwa mlevi, watoto watavuta hata bange kama tunavyoona sasa hapa Tanzania.
 
HIVI NGOJA NIULIZE, mbona Slaa alipoitwa mahakamani alienda bila tatizo? Kwa nini Mbowe hakwenda as required? Na kama alikuwa na jambo muhimu la kufanya,kwa nini mwanasheria wake hakutoa taarifa mapema?
Mkuu kama nimesoma ile taarifa ya Hakimu Magesa aliyotoa mahakamani vizuri, yeye anasema alikua hana shida na Mbowe i.e. alisharuhusu Mbowe ahudhurie vikao that means Mbowe alishaomba dharura akaruhusiwa. Sasa ninachojiuliza mimi ni hiki " Nani basi alitoa kibali cha Mbowe kukamatwa?? Naona bado kuna majibu yanahitajika. Na kama umesikiliza/soma maelezo ya Slaa, inaonyesha palikua na mabishano kule mahakamani siku walipohudhuria kina Slaa kuhusu vifungu vya sheria vinasemaje (Soma hiyo thread ya maelezo ya Slaa na Magesa) unaweza pata picha pana zaidi.
 

Hapo kwenye red tuko pamoja kabisa Mkuu.
 
Mungu ashukuriwe! kaongeza umaarufu balaaa, kila redio inamjadili.
 

Ukiona hivyo ujue na yeye ni O au 0 teh teh teh
 
"Cogito ergo sum" i.e. I think and therefore I am... Kuna mtu ananiambia hapa nilipo kwamba wapinzani wanaleta vita.
:majani7: Sijui anataka tucheze rege?

:confused2: Watawala tulionao sasa hivi wamechoka kazi yao ndo maana wanaamua kuanzisha mitafaruku katika jamii wakidhani kwamba inaweza kusaidia kufanya watu wasahau. ki-ukweli ni kwamba DOWNS and SYMBIASIS ni dhana halisi ya kujivua gamba na si kutema wale watatu!!!! simple...kamata Wembo kisha changanya watu ili SYMBIASIS itimize lengo...

I :mwaaah: CDM na hakika ametoka kama alivyosema, kweli katoka!!!

Mara walitoa msimamo wao...duh nisingependa kuona Nyamongo nyingine...HAKIKA AMETOKA KWELI KAMA ALIVYOSEMA

Hongera sana wana CDM kwa kupigania haki zetu sisi wanyonge --- "NIHIL NIHIL FIT"

people's power!!!
 
Je AMRI YA MAHAKAMA YA KUKAMATA WASIMAMIZI WA DOWANS KWA KUZA MITAMBO HALI KKESI IKIWA MAHAKAMANI NI HALALI AU SIO HALALI KWA NI MBONA HAKUNA ALIYEKAMATWA KWA KUWA WAHUSIKA NI CCM
 
Waberoya punguza woga wa kusema ukweli-tupe mtazamo wako basi credibilty ya chadema imepanda au imeshuka?usitafune maneno maana tuna criminals nchi hii ambao tungetamani nguvu kubwa kama hii itumike but chama unachoamini huwaita na kujadiliana nao gizani!!!!
 
Waweza tu kumuapisha akawa rais wa familia yenu ubaya upo wapi kwani , ila yule wa watanzania aliisha apishwa !

kweli mkuu. Angeapishwa kuwa rais wa familia yetu,yan familia ya watanzania. Nyie wakuja si hamuhusiki ktk familia ya Watanzania,ndo maana hata uchungu hauna! Ipo siku tutawaexport kwenye makontena kuwarudisha huko kwenu na akina RA wenu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…