Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 242
Sababu ya kujiuzuru si umri kama wanavyodai umri umetafutwa juzi tu kama kisingizio tatizo hasa ni maslahi kama kawaida yao na bado yanakuja makubwa mtayasikia.Masauni anasema wanampinga kwa sababu ya msimamo wake wa kusimamia rasilimali za umoja. Kwa kauli hiyo utagundua ugomvi huu ni kwa sababu ya hela. Ufisadi unaanzia awali kabisa!
kuangusha sio tatizo, tatizo jee Uvccm au CCM itasambaratika kama nccr mageuzi baada ya kungatuka mrema?
Unashangaza sana MS: Anayeangushwa ni chaguo lako halafu unasema hakuna tatizo! Utawala gani huo? Na unajuaje iwapo CCM itatawala milele? Unayajua alivyopanga Mungu Mwenyezi katiuka siku zijazo? Au sasa utasema JK na CCM ni chaguo la Mungu? Kwa taarifa yako CCM inaweza kusamabaratika kupita hata NCCR na dalili trunaziona kila kukicha!
Kampigie kampeni JK kule kwa wale mamilioni waliojifunika mablanketi na wanaosubiri mashati ya kijani. wana njaa. Siyo humu ndaniu kwenye JF -- humu ni maji marefu kwako kihoja kitu kinachothibitishwa na hoja zako za kivivu!
kn sio kule tu, hata mujini Bongo, jiji lenye wajanja, lenye wasomi, wenye vyuo vikuu Jk anapeta. ndio maan hata Upinzani hapo kufa maji. sasa watz gani wasiomkubali Jk?
Mpasuko wa CCM bara na CCM zanzibar unazidi kuongezeka na usione ajabu Kikwete akapigiwa kura za chuki kwa ninavyowajua wazanzibari.Inasemekana CCM zanzibar wanasema kuwa wanakusudia kumsusia Kikwete zanzibar na kwa kweli mwaka huu kama uchaguzi utafanyika kikwete anaweza kupatwa na bumbuwazi wa jinsi kura atakazozipata zanzibar. Mkuu kaya kuna fununu zinasema anataka kuhakikisha anashinda zanzibar kwa vyovyote lakini hana support ya CCM zanzibar kwani hawamtaki.
Huna uhakika kabisa na hili unalolisema. Tena kabisa! kama unategemea matokeo ya uchaguzi ujao, na bila shaka ndivyo unategemea, basi hapo ndipo umepotoka, kwani uchaguzi gani huo unaosimamiwa na NEC iliyachaguliwa na Mwenyekiti wa CCM? Wizi mtupu. Mwaka 2005 majina zaidi ya laki moja hayakuonekana katika daftari kule jimbo la Temeke peke yake, na NEC walikiri baadaye. Wengi wa wale hawakuona majina walikuwa wafuasi wa CUF, kutokana na walivyokuwa wanalalamika katika ofisi zao. WIZI mtupu.
Kwa kuwa umegusia NCCR mwaka 1995 NCCR ilihujumiwa hapa Dar na hiyo hiyo NEC kwa kutopeleka vifaa in time kimakusudi tu. (hili liliigwa ktk uchaguzi Visiwani mwaka 2000). WIZI MTUPU! Baadaye NEC ilikiri kufanyika hujuma, lakini ilikataa siyo wao. Mkoa wa Dar ulikuwa ngome ya NCCR mwaka huo. WIZI MTUPU!
Mwaka 200 mikutano ya CUF ilikuwa inapigwa mabomu ya machozi bila sababu yoyote, kionekane ni chama cha vurugu1 Woga wa CCM. WIZI MTUPU!!¬!
Tendwa kaamrishwa na JK kutoiandikisha CCJ kwa hofu ya kubwagwa! WIZI MTUPU na HUJUMA.
Nimjuavyo Jk Tangu achukue uenyekiti ndani ya CCM na Urais wa Tz, Mgogoro wa Uvccm uliopo sawa na gunia la usufi na sio chuma, yaani ni mwepesi kwake kuutatua, ataumaliza na utaisha salama salmin.
1) mgogoro wa SS na Lowasa and Rostam, Ameutatua
2) Zanzibar sio nchi. sasa kama hadithi, kautatua
3)tUCTA, nayo huo umeyayuka bila hata mabomu ya machozi
4)waraka wa wakatoliki na waislam. ameutatua na sasa kila kiongozi wa dini wamemkubali
anaebisha asubiri wiki chache zijazo
malaria haiondoki kwa kugawa net.Nimjuavyo Jk Tangu achukue uenyekiti ndani ya CCM na Urais wa Tz, Mgogoro wa Uvccm uliopo sawa na gunia la usufi na sio chuma, yaani ni mwepesi kwake kuutatua, ataumaliza na utaisha salama salmin.
1) mgogoro wa SS na Lowasa and Rostam, Ameutatua
2) Zanzibar sio nchi. sasa kama hadithi, kautatua
3)tUCTA, nayo huo umeyayuka bila hata mabomu ya machozi
4)waraka wa wakatoliki na waislam. ameutatua na sasa kila kiongozi wa dini wamemkubali
anaebisha asubiri wiki chache zijazo