Baba Zahra
Member
- Apr 6, 2012
- 15
- 2
Yangu macho tu kuangalia wanavyotajana. Tusubiri tuone. Ila hili gazeti si la udaku..?
Kweli hayo majina yamo kwenye list?
Hivi hili gazeti limeyapata wapi?
Litafungiwa?
Msama huyuhuyu promota wa nyimbo za injili na mume msaafu wa Bahati Bukuku?Dira lishawekwa mfukoni! Msama njaa sana
kuna kamnda mwingine wa jeshi hayumo katika list! sidhani kama ni list kamili

Member wenzangu wa jf mnafahamu kuwa ni asilimia ndogo sana ya watanzania wanafuatilia habari hizi na mambo ya siasa na wanasiasa kwa ujumla?
Ni vema mkafahamu kuwa watanzania wengi wanafuatilia ligi za ulaya hasa uingereza na kusoma zaidi magezeti ya udaku kama ya kina shigongo tu.Watanzania hawana mwamko kabisa na siasa na matendo ya wanasiasda na ndio maana kila uchaguzi ccm wanashinda.Kuna mamilioni ya watanzania hata hawajui kama kuna mabilioni yamefichwa huko Uswisi na hata wale wanaojua ni wachache tu wanaojali na kufuatili habari hii.
Kero nyingine ni kuwa hata wale wanaojua na kufahamu habari hizi watakwambia eti hata kama wangekuwa ni chadema nao wangeiba tu kwahiyo wao wanaona hakuna haja ya kufanya mabadiliko yoyote.Tena wana kauli moja ya kijinga eti ni bora hawa ccm(magamba) waendelee kuongoza kuliko kuwapa chadema eti wao(chadema) ndio watakuwa na njaa zaidi kwahiyo watafanya ufisadi hata zaidi ya ccm.
Sasa wana jf wakati tunafurahia hawa mafisadi kuumbuliwa ni bora tukafahamu kuwa tuna tatizo kubwa kama watanzania kwa kutokuwa wazalendo na wenye uchungu wa nchi yetu.Watanzania wengi hawaoni uchungu labda mpaka aibiwe hela yake kutoka mfukoni mwake.
Tofauti kubwa ya watanzania na watu wa mataifa mengine ni sisi watanzania kutokuwa wazalendo na kutojali kasbisa wizi na ufisadi wa viongozi.Na hii ndio siri ya ccm kuendelea kushinda chaguzi zinazofanyika hapa nchini.
Tatizo lingine ni ile fikra miongoni mwa watanzania wengi eti kuwa vyama vya upinzani havina viongozi(watu) wa kutosha na wenye uwezo wa kuongoza nchi.Hii ni fikra mbovu sana hasa miongoni mwa wasomi na watanzania wanaoishi mijini.
Fanyeni utafiti mdogo tu na hili mtaliona.

Thibitisha kuwa walichoandika ni uongo. Vinginevyo udaku unatoka wapi? Hii inchi inatakiwa tuwaue hawa mafissadi kwa kuwachoma moto. Kapuya akiwa wizara ya ulinzi alinunua mahelikopta mabovu ambayo baadhi yalianguka na kuua askari wetu.Yangu macho tu kuangalia wanavyotajana. Tusubiri tuone. Ila hili gazeti si la udaku..?
Member wenzangu wa jf mnafahamu kuwa ni asilimia ndogo sana ya watanzania wanafuatilia habari hizi na mambo ya siasa na wanasiasa kwa ujumla?
Ni vema mkafahamu kuwa watanzania wengi wanafuatilia ligi za ulaya hasa uingereza na kusoma zaidi magezeti ya udaku kama ya kina shigongo tu.Watanzania hawana mwamko kabisa na siasa na matendo ya wanasiasda na ndio maana kila uchaguzi ccm wanashinda.Kuna mamilioni ya watanzania hata hawajui kama kuna mabilioni yamefichwa huko Uswisi na hata wale wanaojua ni wachache tu wanaojali na kufuatili habari hii.
Kero nyingine ni kuwa hata wale wanaojua na kufahamu habari hizi watakwambia eti hata kama wangekuwa ni chadema nao wangeiba tu kwahiyo wao wanaona hakuna haja ya kufanya mabadiliko yoyote.Tena wana kauli moja ya kijinga eti ni bora hawa ccm(magamba) waendelee kuongoza kuliko kuwapa chadema eti wao(chadema) ndio watakuwa na njaa zaidi kwahiyo watafanya ufisadi hata zaidi ya ccm.
Sasa wana jf wakati tunafurahia hawa mafisadi kuumbuliwa ni bora tukafahamu kuwa tuna tatizo kubwa kama watanzania kwa kutokuwa wazalendo na wenye uchungu wa nchi yetu.Watanzania wengi hawaoni uchungu labda mpaka aibiwe hela yake kutoka mfukoni mwake.
Tofauti kubwa ya watanzania na watu wa mataifa mengine ni sisi watanzania kutokuwa wazalendo na kutojali kasbisa wizi na ufisadi wa viongozi.Na hii ndio siri ya ccm kuendelea kushinda chaguzi zinazofanyika hapa nchini.
Tatizo lingine ni ile fikra miongoni mwa watanzania wengi eti kuwa vyama vya upinzani havina viongozi(watu) wa kutosha na wenye uwezo wa kuongoza nchi.Hii ni fikra mbovu sana hasa miongoni mwa wasomi na watanzania wanaoishi mijini.
Fanyeni utafiti mdogo tu na hili mtaliona.
Sumaye tena!ama kweli la kuvunda halina ubani!
huyu nae mwizi???
our very own petraeus