Hatimaye majina ya walioficha pesa Uswisi yaanza kutoka taratibu!

DSC04710-459x600.jpg
ila hii habari si ya leo..ina miaka kama 3
 
Mwanachadema akisikia jina la Zitto huwa anatokwa na akili ghafla nakuanza kuropoka hovyo! Ipo siku tutashuhudia wanavua nguo kabisa nakubaki uchi!
Kwa hiyo kamanda leo upo upsnde wa ccm hakuna ela zilizofichwa Uswiss? Nyie watu wa ajabu sana.
 
Kuwa na pesa uswisi sio kosa na ilishatankwa hivyo na waziri wa fedha..huyu Zitto anawashwa washwa tu hapa...by the way he is politically irrelevant
 
Zitto wa ajabu sana hawa wameficha hela Uswisi ? Watupe uthibitisho wao kuhusika na benki ya HSBC ? waliohusika na kuweka hela HSBC alitajwa kwa sababu nchi zao zilipeleka waandishi wa habari wakati wana decipher zile coded info za benki. Narudia kusema hivi kwa mara ya pili Kenya,South Africa na Nigeria walipeleka waandishi wa habari kuwawakilisha ndo maana kuna wakenya na wanigeria waliotajwa kuwa na hela kule akiwemo bilionea Aliko Dangote. Ushauri wangu watanzania wenzangu tusaidiane kueleweshane na tunapopokea haya mambo ya siasa usiwe na mrengo mmoja hata siku moja kama unataka nshi iendelee wewe kama mtanzania. Wanasiasa ni wanafiki sana ukiambiwa kitu kubali au kataa kwa facts na unapomwambia mtu kitu mpe facts na uhuru wa kukubali na kukataa kwa kukupa wewe facts zaidi. Vijana wenzangu tusitegemee katika siasa kufanikiwa kimaisha tukae chini tusome na tutumie kisomo chetu kama kwenda shule ni gharama wekeza katika ujuzi wowote ule. Ukikaa na kupiga mayowe utakuwa unaishi maisha ya mtu mwengine. Ndo haya mambo unayoyaona watu wanakufa kenya ili uhuru aingie madarakani WTF siiombei nchi mabaya.
 
ZZK kachoka..alikuwa ankimbiza na movie za bei rahisi..wengine wanaweka odl is gold za kweli ..hapa jamaa anaweza old is junk
 
Ahsante constructive t kwa taarifa muhimu ambayo ilinipita kesho to kumbe ZZK (Zana Za Kilimo) wa Act yuko somehow mkweli.
 
Back
Top Bottom