Happy madam?
Say hi to Dr Slaa.
Tujadili hili pls?
Lakini fikra zangu.
"Me nampenda mungu maana ni muaminifu, anafichua yale yote yanayofanywa sirini, haya sasa, wana tunduma mmeona kwa macho yenu, mmesikiliza mziki mwanzo mwisho, alafu by the time anatakiwa kuongea mzee tu mnaambiwa vimeharibika, that is a cheap reason kutolewa kwa mtu/chama kinachotaka kuongoza nchi, wakat wwngine wote wametumia vyombo hivyoo...na mmetangaziwa mkutano kesho kwa vyombo hivyo hivyo."
Karibuni.
Tena bila aibu mbowe kasema Lowasa hawezi kuzungumza bila vyombo wakati yeye mwenyewe alikua anatumia vyombo hivyo hivyo.kwa hiyo eti wanaahirisha hadi kesho.je imgombea asipotokea kabisa itakuajeHiyo ni janja ya nyani kula hindi bichi, mbona Mhe Mbowe kasikika wakati anaongea? Iweje Mhe Lowasa ashindwe? Ebu tuwe wakweli ktk hili, mzee kachoka inabidi apumzike kwanza-kisa uchovu.
Tujadili hili pls?
Lakini fikra zangu.
"Me nampenda mungu maana ni muaminifu, anafichua yale yote yanayofanywa sirini, haya sasa, wana tunduma mmeona kwa macho yenu, mmesikiliza mziki mwanzo mwisho, alafu by the time anatakiwa kuongea mzee tu mnaambiwa vimeharibika, that is a cheap reason kutolewa kwa mtu/chama kinachotaka kuongoza nchi, wakat wwngine wote wametumia vyombo hivyoo...na mmetangaziwa mkutano kesho kwa vyombo hivyo hivyo."
Karibuni.
Mkuu Root kabla Lowasa hajawasili uwanjani vyombo vilikuwa vinafanya kazi baada ya Lowasa kuwasili ndo mic zikaanza kusumbua hata walipojaribu kutafuta mitambo tatizo bado likajirudia lakini kesho watafanya mkutano kuanzia saa tatu hizo ni kasoro za kawaida.
Lowasa anapendwa sana na wananchi