assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
Kua CCM kusikutoe ufahamu gamba wewe.Sisi wenye akili zetu tumeangalia kupitia Azam tv.Hii ni daydream kila wanachopanga hakipangiki
1. wakiwa geita mkutano uliahirishwa eti hakukuwa na maandalizi ya spika nk
2 wakiwa Tunduma mkutano uliahirishwa eti spika zimeairishwa lakini mbowe akiiongea kwa spika izo watu walikua wanasikia
3 alipokua Usangi Kilimanjaro pia mkutano uliarishwa bila sababu
4 Leo matangazo ITV yamekata zikiwa zimebaki ck 6 tu.
sasa kama kuorganize vitu vidogo imekuwa shida ivo how about managing hili liinchi likubwa
but behind the scene inaweza kuwa sio spika ila........
BELIEVE M OR NOT THIS IS A LOST BATTLE
Hii ni daydream kila wanachopanga hakipangiki

Mkuu. Umesahau Tanga...