Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

idawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
25,300
Reaction score
38,450
Lowassa ameshindwa kuhutubia leo Tunduma kisa Vyombo vinasumbua.

Katika team yake ya kampeni hakuna aliepanda jukwaani zaidi ya Mbowe kwa dakika moja kuwaeleza wananchi kuwa tatizo ni vyombo.

 
Yaani Ukawa wanakosa vyombo lakini wanataka nchi? total collapsion, hata hapo walipo wamekosa maduka ama mafundi wa kufanya matengenezo? vipi mic na jukwaa havikuleta shida Leo? Ukiwa wameliwa sana aisee ..walidhani ngoma ya wakubwa inachezwa na watoto, ona sasa.
 
kiukweli Lowassa kawaumiza wanatunduma kuliko unavyofukiria.!
 
Duh. Kweli ww darasa la pili ..collapsion...
 
By HALELUYA MOSHI:
Sio kweli jaman!
Lowasa kahutubia na kashasepa! Idawa alikuwa anawavuta akili tangu asubuh hapa ili jioni awavunje moyo! HALELUYA MOSHI njoo huku,

Mzee yuko poa kabisa!
 
Last edited by a moderator:
By HALELUYA MOSHI:
Sio kweli jaman!
Lowasa kahutubia na kashasepa! Idawa alikuwa anawavuta akili tangu asubuh hapa ili jioni awavunje moyo! HALELUYA MOSHI njoo huku,

Mzee yuko poa kabisa!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…