Hatimaye Lowassa abomoa hadhi ya CHADEMA

Hatimaye Lowassa abomoa hadhi ya CHADEMA

Ww usimpime mtu kwa macho kwani ww hapo mzima Lowassa mabadiliko mabadiliko Lowassa mtaendelea kuongea hivyo hivyo mgonjwa lakini lowassa na sisi mpaka ikulu..
 
Madhumuni ya chama chochote cha siasa ni kushika dola edo ni silaha sahihi ya kuipeleka peoplessssssssssss ikulu then tuwafundishe chama choo utawala bora.

unataka fisadi aingie ikulu ili iweje hatutaki huo ufisadi kafanyeni na mafisadi wenzenu.
 
Kura kwa Lowasa

Mtuambie pesa za eskro nani alizichota?

Wewe ni mzima kiafya?vipi kuhusu viongozi wako waccm ni wazima pia?

Hata kama angekuwa hana mikono na miguu maadam anaongea na sio kubwabwaja kura tungempa,sembuse mzima kama hivi sasa!!!!
 
Chama kimekuwa dhaifu na mahututi zaidi hata ya mgombea wao. Inakatisha tamaa sana kwa mashabiki mnaoendelea kushabikia chama dhaifu, jitafakalini na kuchukua hatua za mapema.
 
Magufuli abomoa hadhi ya ccm ni badala ya kukinadi chama anajinadi yeye.tafakari mpiga kura
 
huwezi ukawa unahubili ufisad kila mwaka na unataka lowasa ajibu tuhuma zip zaidi?ua ulisha zoea propaganda za ccm

unataka kutuambia hujui ufisadi wa mzee wako Lowasa au unajifanya hujui kuwa Lowasa ni fisadi.
 
Wapiganaji wote kwa sasa wamepewa chao, midomo imekuwa kimya afu bodaboda ndo wameachiwa jukumu la kukinadi chama. Hatari sana.
 
Unaongea utumbo kabisa kama ndivyo hivyo lowasa kaharibu chadema wewe inakuhusu nini mbona chama lenu la mafisadi wote mmeunda team ya kampeni tena eti ya matusi wewe suburi Oct 25 na majani yenu mtakoma na ndio maana mnatumia nguvu nyingi
 
Umetombwa vingapi leo wewe dada? Naona buzi lako halijakupa hata cent ndo umekuja na hangover hapa pumbavu wewe! Si mmesema kuwa mtashinda kwa kishindo sasa kelele za nini? Sisi hata ikigombea maiti tutaichagua tu,unadhani kupiga kelele jukwaani ndo maendeleo? Nyie mbwa koko wa ccm mmepiga kelele jukwaani miaka 54 hadi leo mmefanya maendeleo gani? Sasa hivi nitakuwa nawatukana tu maana hakuna namna tena!
 
Mnashindwa kulala... Mavi yanagonja chupi ... rest assured Lowassa ndo Rais wa awamu ya tano ...
 
Utahangaika sana na vi thread uchwara lazima mabusha na matezi yawasumbue mwaka huu...CCM OUT
 
haya tumekusikia hila nawe umechelewa safari yetu bado inaendelea mabadiliko nje ya ccm.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom