Hatimaye Lowassa abomoa hadhi ya CHADEMA

LOWASA ABOMOA HADHI YA CHADEMA:

Mgombea wa nafasi ya uraisi ndio kiini cha kampeni katika chama husika,Kwa mara ya kwanza,taifa la tanzania linashuhudia maajabu ya mgombea wa nafasi ya urais kupitia umoja wa ukawa Ndg:E.lowasa akipigiwa debe kwa asilimia 97% na wapambe wake badala ya kujinadi mwenyewe.Katika wagombea nafasi ya urais waliojitokeza mwaka huu 2015,Bw. Lowasa ni ni mgombea pekee ambae ameonyesha udhaifu mkubwa kwa kushindwa hata kujibu shutuma dhidi yake,kueleza sera za chama kwa ufasaha,amekuwa mgombea ambae kwa kiasi kikubwa anatetewa kwa kila jambo na wapambe wake badala ya kujitetea mwenyewe.Tathimini inayoonekana ni kwamba Chama cha CHADEMA kwa sasa kimepoteza misimamo yake juu ya hoja za upingaji masuala ya ufisadi na rushwa.Agenda hizi zilikuwa zikiibeba kwa kiasi kikubwa chama hicho kiasi hata cha kuweza kupata wabunge wa kutosha bungeni na kuunda kambi ya upinzani kipindi cha bunge la 2010/15. Kupitia ajenda hizo ndipo wakina Mnyika,lisu,msigwa,lemawaliweza kujulikana kwa uhodari wao wa kuongea.Tujiulize wako wapi sasa makamanda hao na kauli zao?Kwa sasa Chadema wamekuwa kama wakiwa baada ya kuukumbatia ufisadi,chama kimekuwa bubu kiasi cha kinashindwa hata kuzungumza uzaifu wa mgombea wao na juu ya hali yake kiafya ilhali hata kwa macho anaonekana.Watanzania tujiulize?kipi kilichojificha juu ya suala hilo?ni kweli lowasa alitoa fedha kwa mbowe kununua chama ili agombee urais?nini anakiitaji huko ikulu?kama wapiga debe wake ndio wenye mamlaka kiasi cha kuzungumza mambo juu yake,akiwa rais nani atakaeongoza nchi?kwa dalili hizi lowasa anafaa kweli kupewa nchi?Tafakari mpiga kura.

bila shaka wewe ni TEAM YA IT wa team ya kijani from masaki,umekua member juzi tuu 12/9/2015,LEO UNATOKA POVU LILILOCHANGANYIKA NA DAMU,shoka liko shinani october linamaliza show
 
Mtoa mada kumanina zako weye,ulitaka Lowassa ambomoe mama yako? Sasa kama kaibomoa CHADEMA Si mfurahie sasa? Nyokoo zenu wote ccm naona mnawashwa sana vueni chupi mpigwe pumbu mavi yenu na mkulu wenu.
 
Sijawahi ona ma ccm yakihangaika kama mwaka huu...
Mabango nchi nzima ..wasanii kibao malalamiko lukuki..
Badala ya kuweka alama za barabarani zisaide kupunguza ajali wao wanaweka picha za makufuli..za nini?
 
LOWASA ABOMOA HADHI YA CHADEMA:

Mgombea wa nafasi ya uraisi ndio kiini cha kampeni katika chama husika,Kwa mara ya kwanza,taifa la tanzania linashuhudia maajabu ya mgombea wa nafasi ya urais kupitia umoja wa ukawa Ndg:E.lowasa akipigiwa debe kwa asilimia 97% na wapambe wake badala ya kujinadi mwenyewe.

Katika wagombea nafasi ya urais waliojitokeza mwaka huu 2015,Bw. Lowasa ni ni mgombea pekee ambae ameonyesha udhaifu mkubwa kwa kushindwa hata kujibu shutuma dhidi yake,kueleza sera za chama kwa ufasaha,amekuwa mgombea ambae kwa kiasi kikubwa anatetewa kwa kila jambo na wapambe wake badala ya kujitetea mwenyewe.

Tathimini inayoonekana ni kwamba Chama cha CHADEMA kwa sasa kimepoteza misimamo yake juu ya hoja za upingaji masuala ya ufisadi na rushwa.Agenda hizi zilikuwa zikiibeba kwa kiasi kikubwa chama hicho kiasi hata cha kuweza kupata wabunge wa kutosha bungeni na kuunda kambi ya upinzani kipindi cha bunge la 2010/15. Kupitia ajenda hizo ndipo wakina Mnyika,lisu,msigwa,lemawaliweza kujulikana kwa uhodari wao wa kuongea.Tujiulize wako wapi sasa makamanda hao na kauli zao?

Kwa sasa Chadema wamekuwa kama wakiwa baada ya kuukumbatia ufisadi,chama kimekuwa bubu kiasi cha kinashindwa hata kuzungumza uzaifu wa mgombea wao na juu ya hali yake kiafya ilhali hata kwa macho anaonekana.Watanzania tujiulize?kipi kilichojificha juu ya suala hilo?ni kweli lowasa alitoa fedha kwa mbowe kununua chama ili agombee urais?nini anakiitaji huko ikulu?

Kama wapiga debe wake ndio wenye mamlaka kiasi cha kuzungumza mambo juu yake,akiwa rais nani atakaeongoza nchi?

Kwa dalili hizi lowasa anafaa kweli kupewa nchi?T

Afakari mpiga kura.

Sasa Magufuli anatangaza sera gani za chama .............. Hivi unafikiri kupiga kelele na kutoa ahadi luluki ndiyo kutangaza sera!!?
 
Lowasa mwenyewe katika nyakati tofauti kwenye mikutano yake kaonekana kachoka sana kufikia hatua ya kusinzia, hawezi kubeba jukumu zito kama hilo, isitoshe hana agenda mahususi za kulikomboa taifa hili.
 
LOWASA ABOMOA HADHI YA CHADEMA:

Mgombea wa nafasi ya uraisi ndio kiini cha kampeni katika chama husika,Kwa mara ya kwanza,taifa la tanzania linashuhudia maajabu ya mgombea wa nafasi ya urais kupitia umoja wa ukawa Ndg:E.lowasa akipigiwa debe kwa asilimia 97% na wapambe wake badala ya kujinadi mwenyewe.

Katika wagombea nafasi ya urais waliojitokeza mwaka huu 2015,Bw. Lowasa ni ni mgombea pekee ambae ameonyesha udhaifu mkubwa kwa kushindwa hata kujibu shutuma dhidi yake,kueleza sera za chama kwa ufasaha,amekuwa mgombea ambae kwa kiasi kikubwa anatetewa kwa kila jambo na wapambe wake badala ya kujitetea mwenyewe.

Tathimini inayoonekana ni kwamba Chama cha CHADEMA kwa sasa kimepoteza misimamo yake juu ya hoja za upingaji masuala ya ufisadi na rushwa.Agenda hizi zilikuwa zikiibeba kwa kiasi kikubwa chama hicho kiasi hata cha kuweza kupata wabunge wa kutosha bungeni na kuunda kambi ya upinzani kipindi cha bunge la 2010/15. Kupitia ajenda hizo ndipo wakina Mnyika,lisu,msigwa,lemawaliweza kujulikana kwa uhodari wao wa kuongea.Tujiulize wako wapi sasa makamanda hao na kauli zao?

Kwa sasa Chadema wamekuwa kama wakiwa baada ya kuukumbatia ufisadi,chama kimekuwa bubu kiasi cha kinashindwa hata kuzungumza uzaifu wa mgombea wao na juu ya hali yake kiafya ilhali hata kwa macho anaonekana.Watanzania tujiulize?kipi kilichojificha juu ya suala hilo?ni kweli lowasa alitoa fedha kwa mbowe kununua chama ili agombee urais?nini anakiitaji huko ikulu?

Kama wapiga debe wake ndio wenye mamlaka kiasi cha kuzungumza mambo juu yake,akiwa rais nani atakaeongoza nchi?

Kwa dalili hizi lowasa anafaa kweli kupewa nchi?T

Afakari mpiga kura.
Stratejia yenu ccm mbovu.mnapanga kuzusha mambo .eti kuwachanganya ukawa..sasa mkisha tuchanganya fikra ndio mtafanya nini sasa.ilituwapigie kura.!!??.nipombe hii mnatupa ilitulewe tuwape kura au !????
 
CHADEMA(UKAWA) kabla na baada ya LOWASA & SUMAYE

Kabla ya Lowasa na Sumaye CHADEMA(UKAWA) ilijipambanua na kueleweka kuwa wanapinga ufisadi na uporaji wa mali za umma uliosababisha ukuaji wa uchumi kutoendana na unafuu wa maisha ya watu, kudumaa kwa sekta za uzalishaji kama viwanda, kilimo na madini.

CHADEMA (UKAWA) baada ya Lowasa na Sumaye, waliowahi kuwa mawaziri wakuu kwa jumla ya miaka 12 kati ya miaka 51 ya serikali ya CCM na kuacha sifa ya kuwa mawaziri wakuu pekee walio kumbwa na kashfa za ufisadi na uporaji wa ardhi ya wananchi, imejikuta ikishindwa kutetea imani iliyojingea kwa wananchi. Bila ushabiki wa wakereketwa waliobaki kwenye umoja huo na wajanja wachache wanaonuffaika binafsi na ujio wa Lowasa na Sumaye, kusingekuwa na CHADEMA wala UKAWA.

Tutafakari pamoja hatima ya taifa letu.
 
CHADEMA(UKAWA) kabla na baada ya LOWASA & SUMAYE

Kabla ya Lowasa na Sumaye CHADEMA(UKAWA) ilijipambanua na kueleweka kuwa wanapinga ufisadi na uporaji wa mali za umma uliosababisha ukuaji wa uchumi kutoendana na unafuu wa maisha ya watu, kudumaa kwa sekta za uzalishaji kama viwanda, kilimo na madini.
CHADEMA(UKAWA) baada ya Lowasa na Sumaye, waliowahi kuwa mawaziri wakuu kwa jumla ya miaka 12 kati ya miaka 51 ya serikali ya CCM na kuacha sifa ya kuwa mawaziri wakuu pekee walio kumbwa na kashfa za ufisadi na uporaji wa ardhi ya wananchi, imejikuta ikishindwa kutetea imani iliyojingea kwa wananchi. Bila ushabiki wa wakereketwa waliobaki kwenye umoja huo na wajanja wachache wanaonuffaika binafsi na ujio wa Lowasa na Sumaye, kusingekuwa na CHADEMA wala UKAWA. Tutafakari pamoja hatima ya taifa letu.

Hadi sasa UKAWA au CHADEMA wanapinga ufisadi,RICHMOND NI YA JK,mafisadi yote yako CCM yanafugwa na mfumo
 
CHADEMA(UKAWA) kabla na baada ya LOWASA & SUMAYE

Kabla ya Lowasa na Sumaye CHADEMA(UKAWA) ilijipambanua na kueleweka kuwa wanapinga ufisadi na uporaji wa mali za umma uliosababisha ukuaji wa uchumi kutoendana na unafuu wa maisha ya watu, kudumaa kwa sekta za uzalishaji kama viwanda, kilimo na madini.
CHADEMA(UKAWA) baada ya Lowasa na Sumaye, waliowahi kuwa mawaziri wakuu kwa jumla ya miaka 12 kati ya miaka 51 ya serikali ya CCM na kuacha sifa ya kuwa mawaziri wakuu pekee walio kumbwa na kashfa za ufisadi na uporaji wa ardhi ya wananchi, imejikuta ikishindwa kutetea imani iliyojingea kwa wananchi. Bila ushabiki wa wakereketwa waliobaki kwenye umoja huo na wajanja wachache wanaonuffaika binafsi na ujio wa Lowasa na Sumaye, kusingekuwa na CHADEMA wala UKAWA. Tutafakari pamoja hatima ya taifa letu.

Kamwambie aliye kutuma kuwa tumekutaa na kukufukuza kama ngedere kutoka shambani
 
Sio lazima na wewe uonekane umepost humu...pumba tupu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom