LOWASA ABOMOA HADHI YA CHADEMA:
Mgombea wa nafasi ya uraisi ndio kiini cha kampeni katika chama husika,Kwa mara ya kwanza,taifa la tanzania linashuhudia maajabu ya mgombea wa nafasi ya urais kupitia umoja wa ukawa Ndg:E.lowasa akipigiwa debe kwa asilimia 97% na wapambe wake badala ya kujinadi mwenyewe.
Katika wagombea nafasi ya urais waliojitokeza mwaka huu 2015,Bw. Lowasa ni ni mgombea pekee ambae ameonyesha udhaifu mkubwa kwa kushindwa hata kujibu shutuma dhidi yake,kueleza sera za chama kwa ufasaha,amekuwa mgombea ambae kwa kiasi kikubwa anatetewa kwa kila jambo na wapambe wake badala ya kujitetea mwenyewe.
Tathimini inayoonekana ni kwamba Chama cha CHADEMA kwa sasa kimepoteza misimamo yake juu ya hoja za upingaji masuala ya ufisadi na rushwa.Agenda hizi zilikuwa zikiibeba kwa kiasi kikubwa chama hicho kiasi hata cha kuweza kupata wabunge wa kutosha bungeni na kuunda kambi ya upinzani kipindi cha bunge la 2010/15. Kupitia ajenda hizo ndipo wakina Mnyika,lisu,msigwa,lemawaliweza kujulikana kwa uhodari wao wa kuongea.Tujiulize wako wapi sasa makamanda hao na kauli zao?
Kwa sasa Chadema wamekuwa kama wakiwa baada ya kuukumbatia ufisadi,chama kimekuwa bubu kiasi cha kinashindwa hata kuzungumza uzaifu wa mgombea wao na juu ya hali yake kiafya ilhali hata kwa macho anaonekana.Watanzania tujiulize?kipi kilichojificha juu ya suala hilo?ni kweli lowasa alitoa fedha kwa mbowe kununua chama ili agombee urais?nini anakiitaji huko ikulu?
Kama wapiga debe wake ndio wenye mamlaka kiasi cha kuzungumza mambo juu yake,akiwa rais nani atakaeongoza nchi?
Kwa dalili hizi lowasa anafaa kweli kupewa nchi?T
Afakari mpiga kura.