Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,358
- 289,444
- Thread starter
- #21
HayaUmezidi kutapatapa[emoji23]
HayaUmezidi kutapatapa[emoji23]
Kwamba CDM mnaachiana maji mezani na kuyakuta salama!!!
Lazaro Nyalandu, Mwanaccm wa kwanza kujivua Ubunge kwa sababu ya kupinga Udikteta wa Magufuli wa kuteka, kutesa na kushambulia watu kwa risasi, ambaye baadaye alikimbilia CHADEMA na kupokelewa kwa heshima na hatimaye kupewa Cheo kikubwa cha kuongoza Kanda ya kati, miezi kadhaa baada ya kurudi tena CCM ili kubahatisha cheo bila mafanikio amefunguka kuhusu wema wa CHADEMA.
Nyalandu amenukuliwa akisema kwamba "Wanachama wa CHADEMA wanakisapoti sana chama chao na wana upendo mkubwa sana miongoni mwao". Ameendelea kufunguka kwamba jambo hili halimo ndani ya CCM ( Haifahamiki amekumbwa na nini )
Bali ikumbukwe kwamba hata Rais Mstaafu Jakaya Kikwete aliwahi kunukuliwa kwenye vikao vya Chama chake kwamba , "WANACCM HAWAACHIANI MAJI YA KUNYWA MEZANI " kwamba kama ukiacha maji yako kwenye kadamnasi ya chama hicho unaweza kuwekewa kitu kizito ndani yake, Ushahidi wa kuachiana maji mezani anao Phillipo Mangula.
Tutafakari sana Ujumbe huu wa Nyalandu.
Chadema ni Chama makini ukiondoa Vijana Washamba Washamba wachache[emoji3][emoji3]
Kwanza aliondoka CCM baada JPM kumbana kuhusu twiga aliouza nje wakati akiwa Waziri wa mali asili na utalii. Matamko ya kisiasa kuwa "kupinga Udikteta wa Magufuli wa kuteka, kutesa na kushambulia watu kwa risasi" ni uwongo tu. Huyu ni kati ya Mawaziri ambao JK aliweka watu wa hovyo kabisaNjaa zake tu, angetulia Chadema alikuwa na nafasi ya kuwa mbunge 2025, ila tamaa, na kukosa vinasaba vya kiumeni
Lazaro Nyalandu, Mwanaccm wa kwanza kujivua Ubunge kwa sababu ya kupinga Udikteta wa Magufuli wa kuteka, kutesa na kushambulia watu kwa risasi, ambaye baadaye alikimbilia CHADEMA na kupokelewa kwa heshima na hatimaye kupewa Cheo kikubwa cha kuongoza Kanda ya kati, miezi kadhaa baada ya kurudi tena CCM ili kubahatisha cheo bila mafanikio amefunguka kuhusu wema wa CHADEMA.
Nyalandu amenukuliwa akisema kwamba "Wanachama wa CHADEMA wanakisapoti sana chama chao na wana upendo mkubwa sana miongoni mwao". Ameendelea kufunguka kwamba jambo hili halimo ndani ya CCM ( Haifahamiki amekumbwa na nini )
Bali ikumbukwe kwamba hata Rais Mstaafu Jakaya Kikwete aliwahi kunukuliwa kwenye vikao vya Chama chake kwamba , "WANACCM HAWAACHIANI MAJI YA KUNYWA MEZANI " kwamba kama ukiacha maji yako kwenye kadamnasi ya chama hicho unaweza kuwekewa kitu kizito ndani yake, Ushahidi wa kuachiana maji mezani anao Phillipo Mangula.
Tutafakari sana Ujumbe huu wa Nyalandu.
Sumaye na EL walijisalimisha bila ridhaa yao... CCM ukijidai mjanja hufiki mbali.Teuzi zinampita kimya yeye na Sumaye
Chadema ni mpango wa MunguKwamba CDM mnaachiana maji mezani na kuyakuta salama!!!
Hizi porojo hizi!!
Ndiyo akubali kuwa katiba ni mbovu snSumaye na EL walijisalimisha bila ridhaa yao... CCM ukijidai mjanja hufiki mbali.
Kwamba baada ya kukimbilia chadema ndio ikashindikana kukamatwa kwa kuuza Twiga ? Wadanganye Wajinga sana !Kwanza aliondoka CCM baada JPM kumbana kuhusu twiga aliouza nje wakati akiwa Waziri wa mali asili na utalii. Matamko ya kisiasa kuwa "kupinga Udikteta wa Magufuli wa kuteka, kutesa na kushambulia watu kwa risasi" ni uwongo tu. Huyu ni kati ya Mawaziri ambao JK aliweka watu wa hovyo kabisa
Hilo la kuwachiana maji, wamuulize Zitto, aliwaweka wazi mpaka wabeba sumu wa chadomo.
Lazaro Nyalandu, Mwanaccm wa kwanza kujivua Ubunge kwa sababu ya kupinga Udikteta wa Magufuli wa kuteka, kutesa na kushambulia watu kwa risasi, ambaye baadaye alikimbilia CHADEMA na kupokelewa kwa heshima na hatimaye kupewa Cheo kikubwa cha kuongoza Kanda ya kati, miezi kadhaa baada ya kurudi tena CCM ili kubahatisha cheo bila mafanikio amefunguka kuhusu wema wa CHADEMA.
Nyalandu amenukuliwa akisema kwamba "Wanachama wa CHADEMA wanakisapoti sana chama chao na wana upendo mkubwa sana miongoni mwao". Ameendelea kufunguka kwamba jambo hili halimo ndani ya CCM ( Haifahamiki amekumbwa na nini )
Bali ikumbukwe kwamba hata Rais Mstaafu Jakaya Kikwete aliwahi kunukuliwa kwenye vikao vya Chama chake kwamba , "WANACCM HAWAACHIANI MAJI YA KUNYWA MEZANI " kwamba kama ukiacha maji yako kwenye kadamnasi ya chama hicho unaweza kuwekewa kitu kizito ndani yake, Ushahidi wa kuachiana maji mezani anao Phillipo Mangula.
Tutafakari sana Ujumbe huu wa Nyalandu.
Kukimbilia CHADEMA aligeuza kesi hiyo kuwa ya kisiasa, JPM akamweka kando kidogo kwa vile kulikuwa na mengi ya kusahihisha nchini. Makinikia yalikuwa na thamani kubwa sana kuliko hao twigaKwamba baada ya kukimbilia chadema ndio ikashindikana kukamatwa kwa kuuza Twiga ? Wadanganye Wajinga sana !
I agree.Chadema ni mpango wa Mungu
Endelea kupanua MagoliKukimbilia CHADEMA aligeuza kesi hiyo kuwa ya kisiasa, JPM akamweka kando kidogo kwa vile kulikuwa na mengi ya kusahihisha nchini. Makinikia yalikuwa na thamani kubwa sana kuliko hao twiga
Si heri ya hayo magoli kuliko maliberali.Endelea kupanua Magoli
kumbe uko huko , Basi salama alekoSi heri ya hayo magoli kuliko maliberali.
Na wewe undelea kubana.Endelea kupanua Magoli
Hakika !Siasa ni kazi,Kama kazi nyingine... full-time Job.
Undelea [emoji777]Na wewe undelea kubana.