mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,585
- 11,269
Mungu yupi?Chadema ni mpango wa Mungu
Mungu yupi?Chadema ni mpango wa Mungu
Mungu aliye haiMungu yupi?
Hawa maharamia wamerudi tena na Propaganda zao hasi na za Uhasama dhidi ya Watanzania. Hizi defamation,yani hali hii ya kumpaka matope na kumchafua Hayati Raisi imeibuliwa tena wakati wanaona juhudi za Wananchi wa pande zote za kisiasa kuungana na kupinga Ukoloni mamboleo(DPW na waarabu) zimeshika moto-wanataka kuuzima kwa kutumia mbinu za kiutenganishi.Kwanza aliondoka CCM baada JPM kumbana kuhusu twiga aliouza nje wakati akiwa Waziri wa mali asili na utalii. Matamko ya kisiasa kuwa "kupinga Udikteta wa Magufuli wa kuteka, kutesa na kushambulia watu kwa risasi" ni uwongo tu. Huyu ni kati ya Mawaziri ambao JK aliweka watu wa hovyo kabisa
Wasaliti, na Magaidi wa Nchi hii hawata samehewa kamwe. Waombe huyu SSH abakie kwani ndio ngao yao, wamshukuru.Tutafakari sana Ujumbe huu
Wewe kama nani wa kupangia watu humu ?Hawa maharamia wamerudi tena na Propaganda zao hasi na za Uhasama dhidi ya Watanzania. Hizi defamation,yani hali hii ya kumpaka matope na kumchafua Hayati Raisi imeibuliwa tena wakati wanaona juhudi za Wananchi wa pande zote za kisiasa kuungana na kupinga Ukoloni mamboleo(DPW na waarabu) zimeshika moto-wanataka kuuzima kwa kutumia mbinu za kiutenganishi.
Washindwe.
Nasema, bora CCM hii hii kuliko CHADEMA.
Wauane tu hawana faida yoyote duniani
Lazaro Nyalandu, Mwanaccm wa kwanza kujivua Ubunge kwa sababu ya kupinga Udikteta wa Magufuli wa kuteka, kutesa na kushambulia watu kwa risasi, ambaye baadaye alikimbilia CHADEMA na kupokelewa kwa heshima na hatimaye kupewa Cheo kikubwa cha kuongoza Kanda ya kati, miezi kadhaa baada ya kurudi tena CCM ili kubahatisha cheo bila mafanikio amefunguka kuhusu wema wa CHADEMA.
Nyalandu amenukuliwa akisema kwamba "Wanachama wa CHADEMA wanakisapoti sana chama chao na wana upendo mkubwa sana miongoni mwao". Ameendelea kufunguka kwamba jambo hili halimo ndani ya CCM ( Haifahamiki amekumbwa na nini )
Bali ikumbukwe kwamba hata Rais Mstaafu Jakaya Kikwete aliwahi kunukuliwa kwenye vikao vya Chama chake kwamba , "WANACCM HAWAACHIANI MAJI YA KUNYWA MEZANI " kwamba kama ukiacha maji yako kwenye kadamnasi ya chama hicho unaweza kuwekewa kitu kizito ndani yake, Ushahidi wa kuachiana maji mezani anao Phillipo Mangula.
Tutafakari sana Ujumbe huu wa Nyalandu.
Unahamaki kwa vitu vyepesi sana.Waliberali uliwachungulia dirishani?Si heri ya hayo magoli kuliko maliberali.
[emoji38][emoji38][emoji38]Unahamaki kwa vitu vyepesi sana.Waliberali uliwachungulia dirishani?
unafikiria au unaota ?Hata chadema mkipata mafanikio lazima mpasuke na mgawanyike kwasababu Kila mtu atapenda aongoze yeye
Sasa Si hamjampata mafanikio subiri myapate hata CCM enzi wanapigania uhuru walikuwa kama nduguunafikiria au unaota ?
Chadema haijawahi kuloga mwanachama wakeSasa Si hamjampata mafanikio subiri myapate hata CCM enzi wanapigania uhuru walikuwa kama ndugu
Muulize zitto kabwe na sumaye aliyeijaribu sumu kwa kuilambaChadema haijawahi kuloga mwanachama wake
Wewe unazungumzia uzushi , Chadema iliwahi kumnyang'anya mashamba Sumaye ?Muulize zitto kabwe na sumaye aliyeijaribu sumu kwa kuilamba
Porojo tupu ! hivi mimi wa kumsikiliza Slaa wakati mwenyewe nimo Chadema ?Ukitaka kujua ndani ya Chadema kuna mizengwe zaidi ya CCM soma kitabu kinachoitwa,'NYUMA YA PAZIA- JINSI CHADEMA KILIVYOSALITIWA MWAKA 2015.Kitabu hicho kiliandikwa na DK Slaa.Ukiona Chadema wanapendana wanakuwa hawana kitu cha kugombea.Lakini ikibainika kuna pesa na uwezekano wa kupata ubunge au udiwani mtu akigombea kupitia hicho chama.chuki na fitina vinatamalaki.
Lakini mwenyekiti wa chadema ashawahi kuumtisha uhai wa sumayeWewe unazungumzia uzushi , Chadema iliwahi kumnyang'anya mashamba Sumaye ?
nyalandu aliacha ccm kupinga kupigwa risasi Lisu. hili naomba tusisahau. na anastahili kupongezwa kwasababu ni mwanaccm pekee aliyefanya hivyo, bila kujali kwamba ni mnyaturu mwenzake alifanya hivyo kwasababu ni mtanzania mwenzake.
Lazaro Nyalandu, Mwanaccm wa kwanza kujivua Ubunge kwa sababu ya kupinga Udikteta wa Magufuli wa kuteka, kutesa na kushambulia watu kwa risasi, ambaye baadaye alikimbilia CHADEMA na kupokelewa kwa heshima na hatimaye kupewa Cheo kikubwa cha kuongoza Kanda ya kati, miezi kadhaa baada ya kurudi tena CCM ili kubahatisha cheo bila mafanikio amefunguka kuhusu wema wa CHADEMA.
Nyalandu amenukuliwa akisema kwamba "Wanachama wa CHADEMA wanakisapoti sana chama chao na wana upendo mkubwa sana miongoni mwao". Ameendelea kufunguka kwamba jambo hili halimo ndani ya CCM ( Haifahamiki amekumbwa na nini )
Bali ikumbukwe kwamba hata Rais Mstaafu Jakaya Kikwete aliwahi kunukuliwa kwenye vikao vya Chama chake kwamba , "WANACCM HAWAACHIANI MAJI YA KUNYWA MEZANI " kwamba kama ukiacha maji yako kwenye kadamnasi ya chama hicho unaweza kuwekewa kitu kizito ndani yake, Ushahidi wa kuachiana maji mezani anao Phillipo Mangula.
Tutafakari sana Ujumbe huu wa Nyalandu.
Hata mimi nimeandika hivyo hivyonyalandu aliacha ccm kupinga kupigwa risasi Lisu. hili naomba tusisahau. na anastahili kupongezwa kwasababu ni mwanaccm pekee aliyefanya hivyo, bila kujali kwamba ni mnyaturu mwenzake alifanya hivyo kwasababu ni mtanzania mwenzake.