Hatimaye Lawrence Masha apata dhamana

Amepata fundisho kuwa huwezi kuwa juu ya sheria.

wao pia fundisho lao linakuja siku si nyingi
kwani dalili za mkata roho ziko dhahiri kabisa
bila kificho....ni suala la muda tu.
 
Ukiwa chadema lazima uonje jela kwanza, hiyo ndio moja ya vigezo vya kupata uongozi chadema
Hata Hayati Nelson Mandela alisubutu kukaa jela miaka 25 na akaja kuwa Raisi wa Afrika Kusini - CC kwa wengine hii!
 

Pole Sana mkuu ndiyo Tanzania yetu hii lakini yana mwisho.
 
Loh! Leo Masha kawa Mandela? Huyu jamaa pamoja na kujiunga ukawa juzi hapa, wacha na yeye aonje dozi ya dawa yake mwenyewe?
 
Ipo siku haki nchi hii itatawala...na siku hiyo si mbali..inakuja na i karibu sana...mlangoni..
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani nchini, Lawrence Masha (45) baada ya kukamilisha masharti ya dhamana.
Pongezi kubwa kwa kamanda advocate Msando na Kibatala kwa kufanikisha zoezi.

Msando huyu au mallya joni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…