Hatimaye Lawrence Masha apata dhamana

Daah! Binafsi roho inapata ganz flan hiv! Isije jamaa anabeba maumiv hayo ili tumuamin baadae atuumize ! Yaan simuamin kabisa masha! Si walikuwa green financial na kina ritz
 
Pole sana Kamanda L.Masha! Sasa umeiva tayari kwa ukombozi. Hiyo ndiyo serikali uliyoitumikia sasa utaamini kwa nini tunasema tunataka ukombozi wa pili kutoka kwa mkoloni mweusi ccm. Mkapa atatuelewa tu
 
Lawrence Masha
Yaani bwana Mungu huwa anawapa watu vipofu wasiojua wanachokifanya, inawezekanaje unapata ubunge ukiwa early 30's na uwaziri juu then eti unakaa miaka tu mitano tena ukiwa na chama tawala halafu unapigwa chini kwa kushindwa kuwatumikia wananchi? This man I will never understand him unless aje mtu wa kunifafanulia.Hakutakiwa kuwa mtu wa kupata shida huyu Lawrence Marsha hata kidogo ila kiburi cha uzima na dharau ndivo vilivomfikisha hapo alipo
 
Na bado mgombea urais wa ukawa kulala segerea mpaka mkome kudanya watanzania. juzi juzi tu mlikuwa mtuaminisha Lowassa fisadi, ghafla si fisadi ni mtu safi. pambaaaf...

mpumbave mwenyewe unatukana watu utazani wewe nui zaidi ya wengine?
 
hakuna mahali popote katika dunia hii ambapo dhuluma iliwahi kushinda haki .
 
mulimtosa dhamani; mpo busy k/koo ,tandale , ilala

kwa kukosa 2 mil ; kampuni yake ya usafi walimsusia ; inaonyesha haishi vizuri na wafanyakazi wake.

Alishawaona malofa;

wamemchunia; lazima wafagie jiji kwa kasi na hali mpya

Hiyo sio sababu. Shauri lilipitishwa late kiasi kwamba muda wa kazi ukawa umeisha ndio maana ikashindikana.
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani nchini, Lawrence Masha (45) baada ya kukamilisha masharti ya dhamana.
Pongezi kubwa kwa kamanda advocate Msando na Kibatala kwa kufanikisha zoezi.
 
Inatufundisha ukiwa madarakani tenda kufuata sheria, mheshimu kila mtu mkubwa kwa mdogo, hata kama wewe una nini!! Inaonyesha alipokuwa madarakani aliwanyanyasa sana askari. Maana kosa lake wangeweza tu kulimaliza wenyewe kama boss wao wa zamani.

Tena hawa watu waliotoka ccm inabidi wapige virungu vingi na kuweka lupango sana kwani walipokuwa huko ccm walikuwa wanashabikia sheria za double standard, acha leo wavune kile walichopanda walipokuwa ccm. Natamani sana hata EL apigwe mabomu sana japo kwa mara ya kwanza nitampa fisadi EL kura yangu kwani nimechoka na ccm. Hii huenda ikawafanya viongozi walioko madarakani wajitafakari kwamba kuunga mkono sheria kandamizi iko siku kibao kitageuka na wao watakuwa wahanga wa sheria zenye makengeza.
 
Jaman masha alidhiaki watanzania sasa nae kaingia sero mpumbavu sana anapoteza taaluma yake
 
Amepata fundisho kuwa huwezi kuwa juu ya sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…