Fall Army Worm JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 19,370 Reaction score 14,522 May 16, 2015 #41 lukelo sakafu said: Hatimaye kesho, saa tisa mchana katika kanisa la SINZA KKKT, kijana wenu Lukelo Sakafu atafunga pingu za maisha na queen of bongo. WanaJF wote mnakaribishwa kumpatia support member mwenzenu. Pia mtapata fursa ya kumuona live Lukelo Sakafu. Click to expand... Hongera sana Lukelo,binafsi ninakuombea maisha mema ya ndoa na Mungu awajalie kupata watoto wema.
lukelo sakafu said: Hatimaye kesho, saa tisa mchana katika kanisa la SINZA KKKT, kijana wenu Lukelo Sakafu atafunga pingu za maisha na queen of bongo. WanaJF wote mnakaribishwa kumpatia support member mwenzenu. Pia mtapata fursa ya kumuona live Lukelo Sakafu. Click to expand... Hongera sana Lukelo,binafsi ninakuombea maisha mema ya ndoa na Mungu awajalie kupata watoto wema.
Leak Platinum Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,944 Reaction score 43,609 May 16, 2015 #42 Watu8 said: Sasa tusubirie thread za vimbwanga vya lukelo na mamsapu wake... Click to expand... Teh Teh sipati picha hili collabo la baba na Mama...
Watu8 said: Sasa tusubirie thread za vimbwanga vya lukelo na mamsapu wake... Click to expand... Teh Teh sipati picha hili collabo la baba na Mama...