Ahmad Abdurahman
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,270
- 6,344
Kwanza naomba nieleweke.Vema sana haya jibu yale maswali yetu sasa ili tuweze kusonga mbele.... Jibu kama wewe ili ujenge legacy yako
Alishindwa kujibu kama ana akili ama hana... Niliuliza zaidi ya mara 20....Kwanza naomba nieleweke.
Mm sio non-believer, mm naamini uwepo wa Mungu. Tena sana.
Kwenye ule mjadala ilitakiwa umjibu Kiranga ili mjadala uendelee tuweze kujua hoja zake za kupinga uwepo wa Mungu zimejikita wap.
Mm siwezi kujibu maswali uliyomuuliza Kiranga kwan sio muumini wa imani ya kutokuwepo Mungu..anayoiamini Kiranga.
Labda Kiranga mwenyewe aje.
Kiranga njoo utolee majibu hoja zako.
Ili amjibu kulingana na alivouliza.
Akili ambayo kwangu mm ni uwezo wakutafakari mambo, kufikiri na kutatua matatzo kadhaa ninayo. Je ndo akili uliyokusudia?Alishindwa kujibu kama ana akili ama hana... Niliuliza zaidi ya mara 20....
Sasa nakuuliza wewe binafsi Ahmad Abdurahman una akili ama huna akili? Hili ni swali unalopaswa kujibu wewe sasa
NDIYOO, NINAYOJibu una akili au huna akili? Jibu ndio au hapana... Maelezo yatakuja baadae....
Naona unashindwa kujielezea,na kila maneno yako yanazaa maswali.
Sasa kati yako wewe na muulizaji nani anajua hasa alichokikusudia ? Na ndio hicho alichokiuliza muulizaji ?
Kwani muulizaji aliuliza nini au kuhusu nini ?
Ulishindwa nini kujibu hivyo tangu mwanzo? Na jamaa yako alishindwa nini kujibu kama wewe?
We jamaa fala sana dah! 😝😝😝Miguu ya samaki na makande ya mapapai.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]We jamaa fala sana dah! [emoji13][emoji13][emoji13]
Utasemaje "Siyo" wakati hujashinda ndani kwako...i mean ulionekana mtaani,,umejuaje kama ni ww au sio ww?Nitajibu "Sio yule uliyeniona asubuhi".
Lakini nakupa faida tu,hata muulizaji amekosea kuuliza swali. Hakuzingatia adabu za kuuliza maswali.
Mbona unamkana sasa wakati ulikuwa unampa credit nyingi? Umejiuliza sasa kwanini yeye alikwepa kujibu lakini wewe umeweza?
Utasemaje "Siyo" wakati hujashinda ndani kwako...i mean ulionekana mtaani,,umejuaje kama ni ww au sio ww?
Hivi bado hujaona tu kama ulikosea kuuliza swali ?
Sasa kwanini uulize swali lenye shaka ndani yake ? Nani amekwambia kama sikushinda ndani,wakati nafsi yangu ndio ushahidi mkubwa na wenye nguvu,nimekwambia uliyemuona huko siyo mimi na wewe unakataa kwamba ni mimi ? Na ushahidi huna ?
Sasa adabu ya kuuliza maswali inakutaka uzingatie kwenye hii mianya uliyoiacha wazi.