squirtinator
JF-Expert Member
- Sep 20, 2015
- 2,765
- 4,193
Kwani kikatiba alianza lini kugombea muhula wa kwanza?Wachana na kipindi cha mpito wakati taifa limetoka kwenye kuomboleza kifo cha rais wao ambaye ni baba wa huyu rais tunaye mpongeza
Kwani kikatiba alianza lini kugombea muhula wa kwanza?Wachana na kipindi cha mpito wakati taifa limetoka kwenye kuomboleza kifo cha rais wao ambaye ni baba wa huyu rais tunaye mpongeza
Asante sana mkuuUnashangaa 2001..badala ya 1986 ya Mu7?
Ok, nimeona aliingia kikatiba 2006.Kwani kikatiba alianza lini kugombea muhula wa kwanza?
Hakuna anayeweza kupambana na kanisa kasalimu amriKanisa Katoliki Congo limefanya kazi kubwa sana
Na yule aliyekuwa gavana wa Lubumbashi na kiongozi wa club ya TP Mazembe je??Jean pierre bemba ndio rais mpya wa congo . Ogopa sana mmarekani . Akiamua nani awe rais ndio huyo atakuwa . Huyu jamaa alikuwa na mashtaka ICC ila kafutiwa mashtaka na amesharudishwa congo tayari kuandaliwa. Yajayo yanafurahisha
Ni ni Mutanzania aliyebahatika kuwa Rais wa CongoJoseph kabila wa wapi?
Hakika...Kanisa katoriki wametimza wajibu wao
Wa MalawiJoseph kabila wa wapi?
🙆🏽♂️🙆🏽♂️ kweli watu wameshachoka!Wa Malawi
kivp?[emoji1438]♂️[emoji1438]♂️ kweli watu wameshachoka!
Kwa hilo jibu ulilotoa kwamba Joseph Kabila wa Malawi!kivp?
Nimepatia au nimebolongaKwa hilo jibu ulilotoa kwamba Joseph Kabila wa Malawi!