Hatimaye Joseph Kabila akubali kung'atuka madarakani

Hatimaye Joseph Kabila akubali kung'atuka madarakani

Tuache ujinga wa kusifia sifia, toka 2001 unataka kuniambia ndio muda wake unaisha sasa?
Wachana na kipindi cha mpito wakati taifa limetoka kwenye kuomboleza kifo cha rais wao ambaye ni baba wa huyu rais tunaye mpongeza
 
Rais Joseph Kabira leo hii amejitofautisha na baadhi ya marais wa Afrika kwa kuamua kuheshimu kipindi chake cha uongozi baada ya kuamua kutogombea kwenye uchaguzi mkuu utakao fanyika mwezi december mwaka huu,pongezi nyingi zimfikie na hiyo ni aibu kwa marais wanao jiongezea vipindi vya kuongoza kama wafalme hasa hapa Afrika

Tuache ujinga wa kusifia sifia, kama tumekosa vya kusifia nashauri tukae kimya
Toka 2001 unataka kuniambia ndio muda wake unaisha sasa?
kuheshimu muda wake wa kuongoza?
 
Back
Top Bottom