Tissaphernes
JF-Expert Member
- Mar 27, 2018
- 2,902
- 3,571
Vizuri
Tumuombe Trump aje na huku bongo basiJean pierre bemba ndio rais mpya wa congo . Ogopa sana mmarekani . Akiamua nani awe rais ndio huyo atakuwa . Huyu jamaa alikuwa na mashtaka ICC ila kafutiwa mashtaka na amesharudishwa congo tayari kuandaliwa. Yajayo yanafurahisha
Tuombe munguHuyu anayesoma mafaili Usiku Mzima Sijui itakuaje....
Yule hakuwai kuchukua form na kuirudishaNa yule aliyekuwa gavana wa Lubumbashi na kiongozi wa club ya TP Mazembe je??
Na yule aliyekuwa gavana wa Lubumbashi na kiongozi wa club ya TP Mazembe je??
Somebody RamadhaniMbadala wake katika chama chake ni nani??
Ina maana hata hapa tuliwekewa???Mark my words bro . Rais wa Congo ajaye ni jean pierre bemba. Na sio huko tuu watamweka mtu wao sehemu mbali mbali watakapo pataka wao. Yajayo yanafurahisha
Siyo rafiki wa kweliSidhani kama huyu ni rafiki yetu kama haongezi muda.
Dah na angepenya hapo angeleta ushindani maana inaonekana anakubaliwa sana.!Yule hakuwai kuchukua form na kuirudisha
Kabisa mkuuHakika...
Ni Kanisa la Kupigiwa mfano kabisa
Umepatia mkuu!Nimepatia au nimebolonga
Ameona mbali sanaSawa ni ukomavu wa kisiasa,pia itamsaidia awe na mwisho mzuri,only if hakuwa muovu kwenye utawala wake..
Inawezekana hata figisu alizowekewa Katumbi zikawa ni mkono waoMark my words bro . Rais wa Congo ajaye ni jean pierre bemba. Na sio huko tuu watamweka mtu wao sehemu mbali mbali watakapo pataka wao. Yajayo yanafurahisha
Ina maana hata hapa tuliwekewa???
Mkuu wacha kuweweseka leo ndiyo ulikuwa mwisho wa kurudisha form na chama chake wame mteua somebody Ramadhaninaonekana imesahau au hamjui historia,Kabila siyo mara yake ya kwanza kusema hivyo.subirini hiyo desember au january kabisa ndio mtoe pongezi.
Tumuombee maisha marefu TrumpMark my words bro . Rais wa Congo ajaye ni jean pierre bemba. Na sio huko tuu watamweka mtu wao sehemu mbali mbali watakapo pataka wao. Yajayo yanafurahisha
Tusubirie 2020Kwakweli mimi sijui bro ni mgeni maeneo haya
hahaa kwani hawezi kusogeza uchaguzi mpaka 2020 au tarehe isiyojulikana. katika hili me ni tomaso,tusubiri muda utuambie wenyewe.Mkuu wacha kuweweseka leo ndiyo ulikuwa mwisho wa kurudisha form na chama chake wame mteua somebody Ramadhan
Angalau hiloKapigwa biti zito na USA. Pia anaplan kusimika puppet atakayemlinda na kumuhakikishia usalama wake na mali zake. A good gesture though.